Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Kuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
Huyo mkuu wa Kambi ni mbuzi[emoji1787]
 
unavyodhani katika jeshi la Gabon hakuna wafuasi na machawa lialia wa GDP (Gabon Democratic Paty) a.k.a CCM ya Gabon ??! Kwa taarifa yako Gabon mpaka ina unit maaluma ndani ya jeshi yenye jukumu la kuwakabili wapinzani wa GDP. Ebu jielimishe zaidi buda
 
huku kwetu hiyo mapinduzi ya kijeshi haitokaa itokee kamweee

tukule ugali + dagaa + kabeji = tuishii
Putin anasema demokrasia za Africa zinakumbatia ukoloni mambo leo lazima kuwe na mabadiliko.

ECOWAS wanayaona mapinduzi kwenye nchi zao ndio maana ghafla waliamua kupeleka jesho haraka Niger Putin akawapa onyo kali.
 
Kuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
Ukitazama sana hata majeshi yetu yanahitaji reformation
 
unadhani hao wa Gabon walikua "hawali na nao" ??! mkuu hebu fanya kugoogle, mshahara wa coplo wa Gabon ni mara tatu (x 3) ya coplo askari jeshi wa Tz.

Mkuu unadhani CPL ,CPT au SGT ndiyo wanaopindua nchi? Top Layers ndiyo wanaokula maisha....Rejea kauli ya MABETO siku ya kuapishwa Chief Hangaya.
 
Hata hivyo Gabon ni nchi ya tano kwa utajiri Africa nafikiri ni sawa tu kutuzidi
There you go, so tunakubaliana kua issue sio kula au kutokula nao, maana afisa wa jeshe wa Gabon anakula mara 3 ya hawa afisa wa jeshi letu. So sio sahihi kufikiri ati Bongo a.k.a Kolomije land hayajatokea mapinduzi ati kisa watawala "wanakula nao vizuri"

hawa wanajeshi wa kibongo wala hamna kitu wanakula, wanatupiwa mifupa tu.
 
Back
Top Bottom