Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Kama watu walitaka kimpindua hata Nyerere unafikir kuna mtu ana guarantee ya kubaki salama kama ataendelea ku mess up na maslahi ya watanzania walio wengi kIsa tu awafurahishe wachache?

Never say never
Hawa wa sasa wanaangalia Masilaji yao, sio Masilahi ya Taifa, hawa wa kwetu si waamini hata chembe
 
Kila nchi inataratibu zake,Tz uruhusiwi kivaa mavazi ya jeshi au yafananayo na jeshi.mavazi mazuri yapo mengi sasa kwanini uvae kombati hata km sio ya Tz ili iweje!
Ndio wahangaika na watu?, Huko nikukosa Mambo ya kufanya wapo Kama wanyonyaji ni kula na kunywa Kodi zetu for nothing huku Mali zinaibiwa na hawajali.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Kuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…