Acha kupiga kelele kama mtu anaetatuliwa linda kwa nini Rais hataki kukaa chini kuzungumza na hao watu Rais mwenye kajichagua haiachaguliwa na, watu alafu analeta dharauBado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi. Ninamuomba Allah Ailinde nchi yetu na Aidumishe Amani yetu.
Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kuudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Mnaongea Kama Kuku waliokatwa vichwa ila tunajua mpo kazini kupandikiza Uoga, South Africa Waliuliwa watu wengi sana na makaburu, Gaddaffi alikuwa na jeshi kubwa hili la Tanzania ni takataka, ila ilichukua Wiki tu akatembea. Waachieni Vijana wadai Nchi yao, Kwa njia yoyote watakayoona inafaa, wako tayari kulipa hiyo bei. Kama ni uhai wenzao wametangulia Majuzi.
Mali zenyewe za MafisadiUnaoengea nini wewe au unaongelea mali za watu?!
Kabla ya maandamano raia walitekwa kubakwa kupotezwa na kuuwawa kinyama na uongozi huu huu wa CCM Na POLISCCM
Ulitaka tukae kimya mpaka lini?
TUTAKIWASHA 9Dec!
Kama mpaka sasa Unafikiri Samia anaweza kutoa katiba na mambo yote aliyofanya Utakua unaota atoe katiba itayomfunga yeye na swahiba wake JK Haiwezekani nafasi alikua nayo pale Magufuli amefariki ya kutoa katiba mpya maana alikua bado ni msafi ule mwaka wa kwanza alitakiwa kutoa katiba huwezi kupata katiba kwa sasa acha ndoto za MchanaBado sijajua kiongozi wa hay maandamano ni nani Hadi sasa!
Lakini namwambia hiyo sio njia sahihi Kwa watz kudai haki zao!!
Tuzungumze na samiah aliahidi katiba mpya kwenye kampeni,tumdai aitishe bungee la katiba!
Jamani mi nimejaa tele ni kukoswa koswa na mabomu tu ila niko salama Mungu mwema! Huku wezi walijipatia nafasi tu wakafanya yao ila mambo yalikuwa ya moto! 🔥Seran uko wapi mzima popote ulipo jitokeze kipenzi maana mwanza palikua pa moto sana sema kitu na roho yangu itapona
Hii ilifanyika Arusha nasikiaGen Z wangepita majumbani mwa watu na kutoa onyo kali kwamba hakuna mtu yoyote kubaki nyumbani labda mama mjamzito na watoto chini ya miaka kumi ila wote tuingie barabarani
Kumbe mama upo fungua dam nilikua na wasi wasiHii ilifanyika Arusha nasikia
Wanaotatuliwa kumbe wanapigaga kelele 😂😂😂😂Acha kupiga kelele kama mtu anaetatuliwa linda kwa nini Rais hataki kukaa chini kuzungumza na hao watu Rais mwenye kajichagua haiachaguliwa na, watu alafu analeta dharau
Usiwe na waswas babaa Mungu ni mwema! Tareh 29 mvua ilinyesha kila mahali🥹Kumbe mama upo fungua dam nilikua na wasi wasi
Fungua DMWanaotatuliwa kumbe wanapigaga kelele 😂😂😂😂
Nikiiacha wazi naombwa ela sana na members wakati mi mwenyew sina😂Fungua DM
nifungulie mimi tafadhaliNikiiacha wazi naombwa ela sana na members wakati mi mwenyew sina😂
Unataka kuniteka😟nifungulie mimi tafadhali
Siwezi mimi sio mtekaji acha roho ngumuUnataka kuniteka😟
Wanataka watu waishi kama Israel na Gaza, ndo watu washaamua ishi hivyo na mwenda wa kuviziana tu hakuna kingine.Duuh na inaanzaga hivi hivi.
Kwa sasa watanzania ni kama wamejisusa just imagine POLISI & TCRA kila mara kutuma msg za vitisho mara hatua kali zitachukuliwa. Ila hicho wanachokataza ndio kinafanyika zaidi. Tesha alishauri kitu kwamba vitisho vya kisaikolojia havina tija kwa sasa