Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

Mtasubiri na kuhangaika sana na Chadema lkn kamwe hamtofanikiwa kuwagawa kwa mbinu zenu mfu.
Mbinu mfu ni zipi? Unaigawaje CHADEMA mali ya akina Mbowe kwa Msigwa au Mnyika?
 
who is hando?
 
Kwani mbowe anajichagua?!
Lini chadema wamepiga kura ya uchaguzi wa mwenyekiti??
Toka nazaliwa hadi sasa nakaribia kupata mjukuu sijwahi sikia Chadema wanauchaguzi wa mwenyekiti
Chama cha familia hicho
yaani nyie machawa wa chadema hamjitambui
 
Anawazema kunyanyua sauti yake kusema CCM waachie ngazi kwa sababu wamekaa sana madarakani?
 
Lini chadema wamepiga kura ya uchaguzi wa mwenyekiti??
Toka nazaliwa hadi sasa nakaribia kupata mjukuu sijwahi sikia Chadema wanauchaguzi wa mwenyekiti
Chama cha familia hicho
yaani nyie machawa wa chadema hamjitambui
Tumeona anawakuna vizuri milio Kila Kona hivyo anawafaa tutendelea kumbakisha mpaka muombe poo
 
Ni sawa na kumwambia mtu afunge biashara yake inayompatia kula ..hawezi kubali kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…