Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Kwa nini Waislamu wa Tanzania au wanaojiita Waislamu ni corrupt sana? Huu Uongozi hauna tofauti na wa 4, soo corrupt!
 
Lema lema lema, anawasaidia nini huyo lema? Mtu anaishi canada anakula bata kwa raha zake, dah 🤣
 
Mapinduzi ya tunisia alianzsha mtu mmoja tu
Aliandamana mwenyewe?
Alimaliza mwenyewe?

Kama watu wasingejitokeza probably angepotezwa na story yake kuishia hapo.

But walionyesha umoja. Umoja is the key
 
Aliandamana mwenyewe?
Alimaliza mwenyewe?

Kama watu wasingejitokeza probably angepotezwa na story yake kuishia hapo.

But walionyesha umoja. Umoja is the key
Lakini alianzisha
 
Ninaomba mungu Maza auze hadi butiama Ili aliyeuleta muungano kaburi lake liuzwe Pia
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Msaada, Hivi ni haramu/vibaya kujenga Hotel Ngorongoro?
Nauliza tu nipate elimu ya hili
 
Labda ndio maana Ridhiwani kawekwa kwenye hiyo wizara, ni mpango mkakati.
 
I
Msaada, Hivi ni haramu/vibaya kujenga Hotel Ngorongoro?
Nauliza tu nipate elimu ya hili
Ijengwe tu sasa Lukuvi Sio Waziri tena, Riziwani ni mwekezaji zako Pia, , ole nasha mbunge wa Ngorongoro Alisha tangulia mbele Za haki na Mwisho JPM hayuko tena.
Pia Serengeti ile hotel ya kikwete ipo salama
 
Itakuwa eneo lenyewe ndilo lililokaliwa na na wamaasai, sasa kampeni ni ya kuwatoa wamaasai ili huyo mtu ajenge hotel, siyo bure!
Ghafla kuna movement ya Ngorongoro!
William Tata Ole Nasha R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…