DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #81
Haha Tatizo inaonekan makonda ksa sasa amekuja na nguvu mpya Plus Mapumziko ya muda mrefu yamemfanya kugundua hii game inaendajeLema anaweza kumshungulikia Makonda vizuri sn
Game ikiwa fair bila polisi nadhani ukweli unaweza kujulikanaHaha Tatizo inaonekan makonda ksa sasa amekuja na nguvu mpya Plus Mapumziko ya muda mrefu yamemfanya kugundua hii game inaendaje
Si ametangaza sasa hivi hakuna matumizi ya polisi kumbe hukumsikia kasema aachiwe yeye polisi wakae pembeniGame ikiwa fair bila polisi nadhani ukweli unaweza kujulikana
Hayo ni maneno tupu, basi na NEC iwe huruSi ametangaza sasa hivi hakuna matumizi ya polisi kumbe hukumsikia kasema aachiwe yeye polisi wakae pembeni
NEC kuwa huru Labda NEC ya CCM ila sio ya Taifa kwa sababu. Unajua mwenyewe kwanini haiwezi kuwa huruHayo ni maneno tupu, basi na NEC iwe huru
CHADEMA wanaendesha gutter politics badala ya kufanya tathimini ya kina ya utekelezaji wa ilani ya CCM ili wakawanyooshe uchaguzi wa serikali za mitaa,wao wanabaki kujadili upuuzi.
Kama Makonda ni mtu laini mbona alipokuwa RC Dar walikuwa wanalialia![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Watu wengine bana,mnajionaga mna akiiili.Upo sahihi, wametolewa mchezoni tayari hao. Hawaongelei tena suala la bandari.