Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

CHADEMA wanaendesha gutter politics badala ya kufanya tathimini ya kina ya utekelezaji wa ilani ya CCM ili wakawanyooshe uchaguzi wa serikali za mitaa,wao wanabaki kujadili upuuzi.
Kama Makonda ni mtu laini mbona alipokuwa RC Dar walikuwa wanalialia![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

..ubabe wa Makonda ulitokana na kusaidiwa na vyombo vya dola.

..bila vyombo vya dola Makonda ni mlaini kama anavyoonekana maumbile yake ni ya kina dada.
 
Back
Top Bottom