Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE


Kuna Nyakati Hata Binadamu Anachukizwa Na Visa Vya Watu Waovu, Kama Ni Kweli Makonda Alitumia Vyeti Vya Kughushi Na Akapata Nafasi Anayoitumia Kufanya Uovu Kwa Watu Hivyo Anastahili Kukemewa Kwa Kauli Moja Na Watu Wote Wenye Mapenzi Mema Na Imani Kwa Mungu.

Pia Wachungaji Wana Nafsi Kama Binadamu Wa Kawaida, Na Shambulio La Mchungaji Ni Shambulio La Kanisa. Hata Yesu Akiwafundisha Watumishi Wake Somo La Imani Kupitia Pale Alipoona Njaa Wakati Anaelekea Mjini (Bethania) Akaona Mti Kando Ya Njia Akauendea Na Asione Kitu Juu Yake Ila Majani Tu Akakemea Yasipatikane Matunda Kwako Tangi Leo Hata Milele. Mti Ukanyauka Mara.

Kwa Tafsiri Rahisi Yesu Alitegemea Matunda Kwenye Mti Ule Na Alipokuta Hamna Kitu Akashikwa Na Hasira Akakemea Mti. Lakini Akatumia Kitendo Kile Kufundisha Imani. Sasa Makonda Anafundishwa Nguvu Za Wachungaji Ili Atambue Nguvu Ya Imani Kwa Mungu Aliye Mkuu Asiwe Anapenda Kuchafua Makanisa Kwa Manufaa Yake Binafsi.

Hata Yesu Alipatwa Na Hasira Pale Ekalu La Bwana Lilipogeuzwa Soko Watu Wakawa Wanafanya Biashara, Yasiyo Ya Haki na Wizi. Ndiyo Maana Aliwafukuza Pale Si Mahali Pake Pa Kufanya Mambo Yale. Hata Makonda Ile Ofisi Aliyopewa Ni Kwa Huduma Wala Si Visasi Na Kuweka Watu Polisi Kiholela Holela Tu. Mamlaka Na Ofisi ZaSerikali Lazima Ziheshimiwe
 
HII MECHI UBABE MTUPU MPAKA KOCHA NAE ANATANDIKWA DARUGA.
 
Mchungaji anagonga sana mlango mwishowe wataamua kumfungulia tena. Ile ndogo tu ya Pengo aliishia TMJ, hoi.
 

Ni kutumia akili ndogo kujua uhalisia na uhalali wa 'uchungaji' wa Gwajima kwa matendo na kauli zake.

Mtumishi wa Mungu, na mfuasi wa Kristo kamwe hawezi kujitukuza kwa utajiri au utukufu wake.

Gwajima hawezi kuwa na taarifa ya watu kuliko Serikali yenyewe ambayo ina nguvu na uwezo wa kupata taarifa ya mtu yeyote.

MWENYE MACHO HAAMBIWI..NA MWENYE MASIKIO...

NA

SIKIO LA KUFA
 
This is war my brother,and only the strong survive
No retreat,no surrender and absolutely should be no mercy
 
Hivi huyu ni mtumishi wa mungu wa aina gani jaman hivi yeye alivyomtukana Pengo aliona viongozi wa dini walivyo
 
Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Watu wengi wanasoma maandiko lakini ni mbumbumbu. Maandiko yanasema, 'yeye aombaye msamaha na kuweka kusudio la kutokurudia kosa, ndiye anayestahili kusamehewa'. Sisi sote, Mungu hawezi kutusamehe kama atukutubu. Kutubu ni kujutia na kisha kuomba kusamehewa.

Wanaosema Gwajima asamehe, huyo anayetaka kusamehewa alikwishatubu na kuomba kusamehewa? Maana hatua za msamaha zipo 4 Kwanza unatakiwa kukiri kuwa umekosa, pili unatakiwa kujutia, tatu unatakiwa kuweka nia ya kuturudia kutenda hilo kosa unalojutia, mwisho unaomba kusamehewa.

Kama Gwajima ameombwa na mkosaji halafu akagoma kusamehe, hapo atakuwa amekosea. Lakini kama aliyekosa hajaomba msamaha, ni lazima dhambi aliyoitenda ikomae, na ikishakomaa lazima itajiweka wazi.
 
Naona umeelemea upande mmoja tu wa Gwajima, kumbuka Maandiko yanasema apandacho mtu ndicho avunacho. Gwajima hajaanza leo kuletewa chokochoko na watu kama akina Makond*. Udhalimu walioupanda kwa Gwajima ndio wanaouvuna.
Hii ya muuza unga na media zoote duniani kumtangaza .full kulala ndani ni kubwaaaa.acha arekebishe tabia
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.

Gwajima yupo kwenye process za kusamehe

Hit them where it hurts

Analazimika kutafuta watu wa kumuombea lkn kesha chelewa
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Fungua macho hili ni pambano dogo ndani ya vita kubwa
A tiny battle in a big war
 
Hivi huyu ni mtumishi wa mungu wa aina gani jaman hivi yeye alivyomtukana Pengo aliona viongozi wa dini walivyo
gwajima ni mtumishi wa shetani. Mtumishi wa Mungu haropoki ila anaelekeza na kuvumilia. Ila achezee akili za hao aliowaita. Asipojiangalia kanisa lake litaishia pabaya.
 
Gwajima naye ni binadamu.....ukweli ni kwamba hizi siku zimefupishwa lakini asinge okoka hata mmoja...kaa chonjo hukumu itapita kwa mmoja mmoja.
 
Alupokuwa anadhalilishwa yeye mlitoa meno yote nje, mbona hamkumwambia mfalme wenu kwamba anadhalilisha kiongozi wa dini amwite kwa staha? Leo ndo mmejua Gwajima ni kiongozi wa dini si milikuwa mnamtolea maneno machafu na kukashifu huduma yake ya kiroho utafikiri nyie ni watakatifu sana!! Gwajima umepigwa shavu la kulia(mihadarati) aliyekupiga mgeuzie la kushoto(vyeti). Kama hawataki ligi watoe timu uwanjani.
 
mlianza kumpakazia mabaya muda mrefu tu, mwenzenu anadunda na kazi ya mungu.
 
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
sema umechoka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…