Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

Mimi nitakuja kuamini kama watalii wataongezeka kutoka idadi ya sasa ya watalii 1,500,000 mpaka watalii 5,000,000 kwa mwaka. Vinginevyo nitaamini kuwa ni upotevu wa fedha. Nitakuwa kama Tomaso.
 
Wewe ndiyo unaona watanzania ni wajinga. Lini na wapi idadi ya watalii ikapimwa kwa kiwango cha kushuka au kupanda kwa shilingi dhidi ya dola ya kimarekani? Factors nyingi zinafanya Dollar kuwa juu au chini na siyo tu utalii
 
You have made it!

Any other naked fact apart from external crop sales?
 
Utaitwa sukuma gang!

Uzuri ni kwamba hii awamu ina machawa kutoka pande zote 2. Kuna yale machawa kutoka ccm na yale ya kutoka chadema
Kwa vile mlizoea kuua na hiyo nafasi mmenyumwa sasa mnatamani mchokoze kila Mtu. Mmekuwa Chawa wanyonya damu kwa miaka 5 mkipokea Matunda ya damu za watu wasio na hatia. Huo uchungu dhidi ya watanzania mmeutoa wapi ghafla nyie wauaji?
 
Mafanikio ya Royal tour,

Ndege ya shirika la EuroWings imeanzisha safari za moja kwa moja kutoka Frankfurt to KIA,imetua leo asubuhi ikiwa na zaidi ya Watalii 130 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-095517.png
    138.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220604-100301.png
    78.7 KB · Views: 14
Rais unaanzaje kuigiza?
Ujue mie mwenzenu mpaka Leo bado sielewi elewi.(pole jamani nje ya mada )
Rais wetu anawashinda akina Angeline Jolie, Nicole Kidman, Jeniffer Lawrence, Lupita Nyong'o na mastaa wengineo wa namna hiyo; unataka kuleta mchezo?
 
Kwa vile mlizoea kuua na hiyo nafasi mmenyumwa sasa mnatamani mchokoze kila Mtu. Mmekuwa Chawa wanyonya damu kwa miaka 5 mkipokea Matunda ya damu za watu wasio na hatia. Huo uchungu dhidi ya watanzania mmeutoa wapi ghafla nyie wauaji?
Wewe huyu bibiako ushungi ana roho ya mauti ndo maana mauaji yamekiwa mengi sana kwa wananchi wake!
 
Niletee EuroWings kutoka ujerumani kwa miaka ya nyuma sio kuropoka kama kasuku
Safari za utalii za msimu huwa hazijirudii; kila mwaka kuna program tofauti. Kama mwaka huu kuna programa hiyo ya EuroWings, basi ujue ni ya muda mfupi tu huu wa summer break, halafu kmwakani kunaweza kujitokeza program nyingine. Nikikurudisha nyuma kumbuka haya



 
You have made it!

Any other naked fact apart from external crop sales?
1. Crops sales.
2. Tourism.
3. Sales of germ's like Gold, Tanzanite, Diamonds etc.
4. External loans from international financing institutions lile UMF, WB, AfDB.

These are only source of foreign currency inflow in the country.
 
Sijaomba safari za mashirika mengine bali nataka EuroWings ..

Ulivyokuwepo mjinga,Tumuamini wewe au tumuamini boss wa EuroWings/Lufthansa aliyesema wameanzisha safari za Frankfurt-Kia?

Unaweka hadi Ethiopia Airlines wakati wapo Kia miaka yote.

Endeleeni kuaibika 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-122749.png
    107.3 KB · Views: 13
Sijaomba safari za mashirika mengine bali nataka EuroWings ..

Ulivyokuwepo mjinga,Tumuamini wewe au tumuamini boss wa EuroWings/Lufthansa aliyesema wameanzisha safari za Frankfurt-Kia?

Unaweka hadi Ethiopia Airlines wakati wapo Kia miaka yote
Unavyopenda kutumia neno" mjinga," inaonyeshwa kuwa wewe utakuwa ni mtu mjinga sana, tena wa kutupwa. Nimeanza kuona ujinga wako kwa kushindwa kuelewa maana ya habari kuhusu utalii, wewe unaona habari ni shirika la utalii lililoltea watu. Hata hujui kuwa aShirrika hupelekea watu kule wanakotaka kwenda, lenyewe nlina facilitate tu. Kama kilwa mwaka huwa wanakuja lakini mwaka huu shirika sulani likafaciliatate safari zao kwa unafcuu wewe unaona hiyo ndiyo roya tua. Huo ni upumbavu es hsli ya juu sana; wapumbavu wa aina yako ndio mikipewa perememde tu basi mnaingia chumbani kwa kujisifia.
 
Rais wetu anawashinda akina Angeline Jolie, Nicole Kidman, Jeniffer Lawrence, Lupita Nyong'o na mastaa wengineo wa namna hiyo; unataka kuleta mchezo?
Halafu kipindi anahojiwa bila wasiwasi anasema hakuwahi kuendesha gari kwa muda wa miaka zaidi ya kumi

Hivi MTU hajaendesha gari kwa muda wote huo halafu unampa gari ghafra aendeshe, tiss wanajua kwa kiasi gani walikua wanahatarisha maisha ya rais wetu? Kwa kumruhusu kuendesha? Vipi kama angejisahau akakanyaga pedal ya mafuta kwa nguvu, gari ikapanda kilima kisha ikaanguka upsidedown? (Madereva niambieni, ukae miaka 10 bila kuendesha gari)Wangesemaje? Maana ndani ya gari alikua yeye na beberu tu, ile scene ilikua ya hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…