Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speed kiduchu labda..Halafu kipindi anahojiwa bila wasiwasi anasema hakuwahi kuendesha gari kwa muda wa miaka zaidi ya kumi
Hivi MTU hajaendesha gari kwa muda wote huo halafu unampa gari ghafra aendeshe, tiss wanajua kwa kiasi gani walikua wanahatarisha maisha ya rais wetu? Kwa kumruhusu kuendesha? Vipi kama angejisahau akakanyaga pedal ya mafuta kwa nguvu, gari ikapanda kilima kisha ikaanguka upsidedown? (Madereva niambieni, ukae miaka 10 bila kuendesha gari)Wangesemaje? Maana ndani ya gari alikua yeye na beberu tu, ile scene ilikua ya hatari sana.
Kila siku iko live Tanzania safari channel na juzi Taifa kwenye Kombe la Dunia ilikuwa live..Imejifia Kibudu, Umeiona Wapi Ikionyeshwa Kwenye Television Zetu? Peter Ametupiga Mchana Kweupe Kuku Wanaona
Imejifia Kibudu, Umeiona Wapi Ikionyeshwa Kwenye Television Zetu? Peter Ametupiga Mchana Kweupe Kuku Wanaona
Wapumbavu nyinyi...Utaitwa sukuma gang!
Uzuri ni kwamba hii awamu ina machawa kutoka pande zote 2. Kuna yale machawa kutoka ccm na yale ya kutoka chadema
Au amtumie mtu maarufu kuitangaza nchi kwenye page zao za mtandaoni mf. wanamichezo bora duniani, wasanii n.k hzo bilion 11 zingetosha sana.Ningeona Ana Akili sana , awe sponsor kwenye movies zinazojulikana kama Fast & Furios , Avengers kwa hiyo hela , wamtengenezee scene yenye vivutio vya Tanzania katikati ya stori ya movie
Au angefanya Digital Marketing, nchi ya Marekani Ni namba moja katika matumizi ya intaneti , So kila anayeingia mtandaoni anakutana na matangazo ya Utalii Tanzania.
Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania.
Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua kukudanganya bado atafanikiwa kwa sababu wewe ni mjinga. Ujinga ni hali ya kutokujua jambo fulani, ila ukishajua unakua sio mjinga tena kwenye hilo jambo. Tatizo la Tanzania watu wengi ni wajinga karibu kwenye kila kitu hata vile vitu vya msingi ambavyo unatarajia kua mtu lazima awe anavijua kwa Tanzania bado ni tatizo.
Ujinga uliopo sasa ni wa takwimu, serikali na wanasiasa kupika takwimu ili kutetea filamu ya royal tour. Juzi nimemsikia kiongozi mmoja akisema Watalii Tanzania wamejaa hadi mwezi wa 9, yaani hoteli za Tanzania zimejaa kwa miezi 3 ijayo ziko full booked kutokana na mafanikio ya Royal Tour.
Kuna kiongozi mwingine leo kaenda mbali zaidi akasema Tanzania kwa sasa inaongoza kwa kua na watalii wengi Afrika nzima kutokana na Royal Tour.
Kwa wasiofahamu, Kabla ya Covid, Nchi iliyokua inaongoza kwa idadi ya Watalii Afrika ilikua ni South Afrika ambayo ilikua inapokea watalii milioni 16 kwa mwaka ikifuatiwa na Tunisia milioni 12 kwa mwaka. Ila baada ya Covid, South Afrika mwaka jana imepata watalii 9.5m huku ikizidiwa na Tunisia iliyopata watalii 10m. Tanzania kwa miaka yote imekua ikiambulia watalii kati ya milioni moja hadi milioni 1.8 kwa mwaka.
Turudi kwenye hoja yangu ya uongo ulipo. Kama watanzania wangekua wanajua facts chache tu ambazo ziko wazi wala wasingehangaika na maneno ya wanasiasa.
Ili ujue kama Watalii wanaongezeka Tanzania ama lah angalia thamani ya shilingi dhidi ya Dollar ya Marekani kwa kipindi cha miezi 5 iliyopita hadi leo hii June 2022.
Thamani ya shilingi imezidi kuporomoka siku hadi siku kutokana na kwamba hakuna vyanzo vya kuingiza Dollar nchini. Kwa Tanzania vyanzo pekee vya kuingiza pesa za kigeni ni utalii na mauzo ya mazao ghafi kama Korosho, Kahawa ama Pamba.
Ukiangalia takwimu za Shilingi dhidi ya Dollar, shilingi ilipanda mwezi Septemba mwaka jana hadi December kutokana na mauzo ya Korosho, msimu wa korosho ulipoisha tu Dollar imekua ikipanda kwa fujo na labda itashuka tena kuanzia Septemba mwaka huu.
Iwapo kungekua na inflow kubwa hivyo ya watalii kama inavyosemwa na wanasiasa, inflow ya Dollar ingeonyesha matokeo yake kwenye thamani ya shilingi dhidi ya Dollar. Kwa tunaojua soko la Dollar shilingi tunajua ni maneno tu ya wanasiasa maana dollar haipo kabisa sokoni.
Watanzania wengi wangekua wanajua hata hizi naked facts wanasiasa wasingekua wanathubutu kusema uongo ila kwa kua wanajua watanzania wengi ni wajinga, watasema wanachotaka kusema.
Ahsante sana.
Sawa mwanangu wa kufikiaMpumbavu mama yako aliyekubambikia Baba yako, bustard
Kunywa maji upunguze maumivuSio lazima uonyeshe ujinga wako hadharani.Hata kama unatumia jina bandia ila inaonyesha wewe ni mojawapo ya wajinga waliopo nchini.
Kizazi SanaKama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania.
Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua kukudanganya bado atafanikiwa kwa sababu wewe ni mjinga. Ujinga ni hali ya kutokujua jambo fulani, ila ukishajua unakua sio mjinga tena kwenye hilo jambo. Tatizo la Tanzania watu wengi ni wajinga karibu kwenye kila kitu hata vile vitu vya msingi ambavyo unatarajia kua mtu lazima awe anavijua kwa Tanzania bado ni tatizo.
Ujinga uliopo sasa ni wa takwimu, serikali na wanasiasa kupika takwimu ili kutetea filamu ya royal tour. Juzi nimemsikia kiongozi mmoja akisema Watalii Tanzania wamejaa hadi mwezi wa 9, yaani hoteli za Tanzania zimejaa kwa miezi 3 ijayo ziko full booked kutokana na mafanikio ya Royal Tour.
Kuna kiongozi mwingine leo kaenda mbali zaidi akasema Tanzania kwa sasa inaongoza kwa kua na watalii wengi Afrika nzima kutokana na Royal Tour.
Kwa wasiofahamu, Kabla ya Covid, Nchi iliyokua inaongoza kwa idadi ya Watalii Afrika ilikua ni South Afrika ambayo ilikua inapokea watalii milioni 16 kwa mwaka ikifuatiwa na Tunisia milioni 12 kwa mwaka. Ila baada ya Covid, South Afrika mwaka jana imepata watalii 9.5m huku ikizidiwa na Tunisia iliyopata watalii 10m. Tanzania kwa miaka yote imekua ikiambulia watalii kati ya milioni moja hadi milioni 1.8 kwa mwaka.
Turudi kwenye hoja yangu ya uongo ulipo. Kama watanzania wangekua wanajua facts chache tu ambazo ziko wazi wala wasingehangaika na maneno ya wanasiasa.
Ili ujue kama Watalii wanaongezeka Tanzania ama lah angalia thamani ya shilingi dhidi ya Dollar ya Marekani kwa kipindi cha miezi 5 iliyopita hadi leo hii June 2022.
Thamani ya shilingi imezidi kuporomoka siku hadi siku kutokana na kwamba hakuna vyanzo vya kuingiza Dollar nchini. Kwa Tanzania vyanzo pekee vya kuingiza pesa za kigeni ni utalii na mauzo ya mazao ghafi kama Korosho, Kahawa ama Pamba.
Ukiangalia takwimu za Shilingi dhidi ya Dollar, shilingi ilipanda mwezi Septemba mwaka jana hadi December kutokana na mauzo ya Korosho, msimu wa korosho ulipoisha tu Dollar imekua ikipanda kwa fujo na labda itashuka tena kuanzia Septemba mwaka huu.
Iwapo kungekua na inflow kubwa hivyo ya watalii kama inavyosemwa na wanasiasa, inflow ya Dollar ingeonyesha matokeo yake kwenye thamani ya shilingi dhidi ya Dollar. Kwa tunaojua soko la Dollar shilingi tunajua ni maneno tu ya wanasiasa maana dollar haipo kabisa sokoni.
Watanzania wengi wangekua wanajua hata hizi naked facts wanasiasa wasingekua wanathubutu kusema uongo ila kwa kua wanajua watanzania wengi ni wajinga, watasema wanachotaka kusema.
Ahsante sana.
Kwani aliendesha bila rehearsal .? Fikiria kwanza.Halafu kipindi anahojiwa bila wasiwasi anasema hakuwahi kuendesha gari kwa muda wa miaka zaidi ya kumi
Hivi MTU hajaendesha gari kwa muda wote huo halafu unampa gari ghafra aendeshe, tiss wanajua kwa kiasi gani walikua wanahatarisha maisha ya rais wetu? Kwa kumruhusu kuendesha? Vipi kama angejisahau akakanyaga pedal ya mafuta kwa nguvu, gari ikapanda kilima kisha ikaanguka upsidedown? (Madereva niambieni, ukae miaka 10 bila kuendesha gari)Wangesemaje? Maana ndani ya gari alikua yeye na beberu tu, ile scene ilikua ya hatari sana.
Huo utalii usipotangazwa watakujaje kwa wingi..? Kila kitu mnahubiri kupigwa hivi royal tour ni ya kwanza ulimwemguni kucheza na mhusika akawa raisi..?Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania.
Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua kukudanganya bado atafanikiwa kwa sababu wewe ni mjinga. Ujinga ni hali ya kutokujua jambo fulani, ila ukishajua unakua sio mjinga tena kwenye hilo jambo. Tatizo la Tanzania watu wengi ni wajinga karibu kwenye kila kitu hata vile vitu vya msingi ambavyo unatarajia kua mtu lazima awe anavijua kwa Tanzania bado ni tatizo.
Ujinga uliopo sasa ni wa takwimu, serikali na wanasiasa kupika takwimu ili kutetea filamu ya royal tour. Juzi nimemsikia kiongozi mmoja akisema Watalii Tanzania wamejaa hadi mwezi wa 9, yaani hoteli za Tanzania zimejaa kwa miezi 3 ijayo ziko full booked kutokana na mafanikio ya Royal Tour.
Kuna kiongozi mwingine leo kaenda mbali zaidi akasema Tanzania kwa sasa inaongoza kwa kua na watalii wengi Afrika nzima kutokana na Royal Tour.
Kwa wasiofahamu, Kabla ya Covid, Nchi iliyokua inaongoza kwa idadi ya Watalii Afrika ilikua ni South Afrika ambayo ilikua inapokea watalii milioni 16 kwa mwaka ikifuatiwa na Tunisia milioni 12 kwa mwaka. Ila baada ya Covid, South Afrika mwaka jana imepata watalii 9.5m huku ikizidiwa na Tunisia iliyopata watalii 10m. Tanzania kwa miaka yote imekua ikiambulia watalii kati ya milioni moja hadi milioni 1.8 kwa mwaka.
Turudi kwenye hoja yangu ya uongo ulipo. Kama watanzania wangekua wanajua facts chache tu ambazo ziko wazi wala wasingehangaika na maneno ya wanasiasa.
Ili ujue kama Watalii wanaongezeka Tanzania ama lah angalia thamani ya shilingi dhidi ya Dollar ya Marekani kwa kipindi cha miezi 5 iliyopita hadi leo hii June 2022.
Thamani ya shilingi imezidi kuporomoka siku hadi siku kutokana na kwamba hakuna vyanzo vya kuingiza Dollar nchini. Kwa Tanzania vyanzo pekee vya kuingiza pesa za kigeni ni utalii na mauzo ya mazao ghafi kama Korosho, Kahawa ama Pamba.
Ukiangalia takwimu za Shilingi dhidi ya Dollar, shilingi ilipanda mwezi Septemba mwaka jana hadi December kutokana na mauzo ya Korosho, msimu wa korosho ulipoisha tu Dollar imekua ikipanda kwa fujo na labda itashuka tena kuanzia Septemba mwaka huu.
Iwapo kungekua na inflow kubwa hivyo ya watalii kama inavyosemwa na wanasiasa, inflow ya Dollar ingeonyesha matokeo yake kwenye thamani ya shilingi dhidi ya Dollar. Kwa tunaojua soko la Dollar shilingi tunajua ni maneno tu ya wanasiasa maana dollar haipo kabisa sokoni.
Watanzania wengi wangekua wanajua hata hizi naked facts wanasiasa wasingekua wanathubutu kusema uongo ila kwa kua wanajua watanzania wengi ni wajinga, watasema wanachotaka kusema.
Ahsante sana.
Mjinga siyo mtu aliyefichwa taarifa sahihi; bali ni yule aliye na taarifa sahihi ila hawezi kuzichakata sawaswa na kufanya interpretation inayoendana na taarifa hizo sahihi alizonazo.Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua kukudanganya bado atafanikiwa kwa sababu wewe ni mjinga. Ujinga ni hali ya kutokujua jambo fulani, ila ukishajua unakua sio mjinga tena kwenye hilo jambo. Tatizo la Tanzania watu wengi ni wajinga karibu kwenye kila kitu hata vile vitu vya msingi ambavyo unatarajia kua mtu lazima awe anavijua kwa Tanzania bado ni tatizo.
Akikupa hizo takwimu zake hapa ni tagMjinga siyo mtu aliyefichwa taarifa sahihi; bali ni yule aliye na taarifa sahihi ila hawezi kuzichakata sawaswa na kufanya interpretation inayoendana na taarifa hizo sahihi alizonazo.
Kwa upande mwingine yule aliyefichwa taarifa sahihi kwa kupewa taarifa fake, huyo siyo mjinga; japo akiamua kuzifanyia kazi taarifa hizo, zitapekea awe na wrong conclusion na hivyo kuepelea na yeye kuonekana kama ni mjinga
Kwa mfano, tukichukulia upande wa wale waliosoma sheria, mojawapo ya conditions muhimu kabisa mtu anapotakiwa kuingia mkataba na mtu mwingine, ni kuwa mkweli (disclosure of material facts). Hiki kipengele ni cha muhimu sana kwenye mikataba na ikitokea kikakiukwa, basi yule aliyedanganywa, sheria inakuwa upande wake na yuke aliyedanganya , kawaida lazime ile kwake
Kwa hali hiyo basi, inapotokea watu wawili wameingia mkataba na mmoja akaamua kumdanganya mwenzake, kisheria aliyedanganywa siyo majinga isipokuwa kama ikitokea akafanya kosa kwenye maamuzi yake linalotokana na kudanganywa huko, basi sheria huwa inamchukulia kuwa "he acted upon false information" na hivyo aliyetoa false information ndiyo anakuwa na makosa.
Actually anayedanganya ndiyo mjinga na si yule aliyedanganywa.
Now, are you saying, mamlaka zinazohusika na takwimu zinawadanya Watanzania? Je, unadhani Watanzania ni wajinga? Takwimu sahihi wewe unazo? Ni zipi?