Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

Speed kiduchu labda..
 

Imejifia Kibudu, Umeiona Wapi Ikionyeshwa Kwenye Television Zetu? Peter Ametupiga Mchana Kweupe Kuku Wanaona

Kila siku iko live Tanzania safari channel na juzi Taifa kwenye Kombe la Dunia ilikuwa live..

Kama tumepigwa sawa tuu maana matunda haya hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220604-122749.png
    107.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220604-082109.png
    106.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220604-081354.png
    127.7 KB · Views: 12

Imejifia Kibudu, Umeiona Wapi Ikionyeshwa Kwenye Television Zetu? Peter Ametupiga Mchana Kweupe Kuku Wanaona


Soko la Utalii lingekuwa kwa ajili yako wala tusingehangaika na hizi kelele… huna unalolifahamu hiyo si igizo la kaole ni marketing ads with targeting market haupo kwenye hilo kundi mefiii wewe.
 
Uzi mzuri..umesaidia kuonyesha ujinga wako na ujinga wa hao unaowaponda.
Kimsingi mafanikio ya jambo lolote yana muda..yaani muda mfupi, wa kati na muda mrefu. Hivyo,ni mapema sana kuanza kusifia au kukosoa kuhusu Royal Tour.
 
Utaitwa sukuma gang!

Uzuri ni kwamba hii awamu ina machawa kutoka pande zote 2. Kuna yale machawa kutoka ccm na yale ya kutoka chadema
Wapumbavu nyinyi...

Period.
 
Au amtumie mtu maarufu kuitangaza nchi kwenye page zao za mtandaoni mf. wanamichezo bora duniani, wasanii n.k hzo bilion 11 zingetosha sana.
 
Watalii wanaongezeka. Endeleeni kukaza shingo, lakini kazi inaonekana vitendo
 
Hata wakiongezeka 100 hiyo itakuwa ni faida ya royo tua.
 
Hahaha yani ole wake mtalii aje lazima royal tour asingiziwe hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Kizazi Sana
 
Kwani aliendesha bila rehearsal .? Fikiria kwanza.
 
Huo utalii usipotangazwa watakujaje kwa wingi..? Kila kitu mnahubiri kupigwa hivi royal tour ni ya kwanza ulimwemguni kucheza na mhusika akawa raisi..?
 
Mjinga siyo mtu aliyefichwa taarifa sahihi; bali ni yule aliye na taarifa sahihi ila hawezi kuzichakata sawaswa na kufanya interpretation inayoendana na taarifa hizo sahihi alizonazo.

Kwa upande mwingine yule aliyefichwa taarifa sahihi kwa kupewa taarifa fake, huyo siyo mjinga; japo akiamua kuzifanyia kazi taarifa hizo, zitapekea awe na wrong conclusion na hivyo kuepelea na yeye kuonekana kama ni mjinga

Kwa mfano, tukichukulia upande wa wale waliosoma sheria, mojawapo ya conditions muhimu kabisa mtu anapotakiwa kuingia mkataba na mtu mwingine, ni kuwa mkweli (disclosure of material facts). Hiki kipengele ni cha muhimu sana kwenye mikataba na ikitokea kikakiukwa, basi yule aliyedanganywa, sheria inakuwa upande wake na yuke aliyedanganya , kawaida lazime ile kwake

Kwa hali hiyo basi, inapotokea watu wawili wameingia mkataba na mmoja akaamua kumdanganya mwenzake, kisheria aliyedanganywa siyo majinga isipokuwa kama ikitokea akafanya kosa kwenye maamuzi yake linalotokana na kudanganywa huko, basi sheria huwa inamchukulia kuwa "he acted upon false information" na hivyo aliyetoa false information ndiyo anakuwa na makosa.

Actually anayedanganya ndiyo mjinga na si yule aliyedanganywa.

Now, are you saying, mamlaka zinazohusika na takwimu zinawadanya Watanzania? Je, unadhani Watanzania ni wajinga? Takwimu sahihi wewe unazo? Ni zipi?
 
Akikupa hizo takwimu zake hapa ni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…