Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

Hizo ni propaganda za vita ili kuwachanganya iran wazani hawato adhibiwa badala yake wanawashambulia vikali kwa kuwashtukiza.
 
Thaad ipo israhell tokea mwaka 2019 na bado israhell ilichapwa
 
Amina,ibarikiwe Israel,Taifa teule,
 
Huna akili 🤣🤣🤣

Hao Israel unao washabikia hivyo kiimani Taifa lao haliamini ktk ukristo wala uislam hawataki kabisa kumtambua yesu , sijui unalijua Hilo Kwanza !?
 
Eti taifa teule?😂😂😂

Hivi nyie nani aliwaroga? Yaani na wewe kwa akili hizi za kuvukia barabara unaamini katika dunia hii kuna taifa teule?

Makao makuu ya ushoga ulimwenguni halafu bado liwe taifa teule?
Chizi huyo 🤣🤣🤣

Hao ndio wote wale wanao amini upumbavu wa story za kutungwa -- Binaadamu kamezwa na samaki kisha katemwa na Huyo samaki Akiwa bado Yuko hai , and blaaaa blaaaaa kibao
 
hawa jamaa wamefanya dunia yote ipo bize kuwafuatilia ebu imagine hadi nchi amabazo wanaishi kwa chini ya usd dolla 1 wapo bize kufuatilia huko. isee!
 
Umeshiba kibulu afu unajikuta upo much know. Kumbe famba. Kula mtori afu majibu yatakua yakusikitisha saana mpaka dunia itikisike
 
Mlizani majasusi ni mossad peke yake eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…