Habari zimevuja, Israel ilikua na mpango wa kuishambulia Iran hivi karibuni

US UK na EU zisaidie Regime Change huko Iran kwa kuitoa Islamic Government of Iran na Maayatola wabakie Misikitini na sio kwenye Siasa.
 
Hivi wayahudi unawajua wewe 🤣🤣🇮🇱eti waifute Israel Kwa taarifa yako walijaribu siku nyingi sana kuifuta lakini hawakuweza na hawatoweza 🤣🤣🇮🇱🇮🇱
Hata professor Jay alijaribu mpk Mara ya 8 ndio akatoboa .
Kila watu wakijaribu wanajifunza na kujipanga ndio maana kuna mda ikishambuliwa mnapagawa hamuamini macho yenu
 
Nilipoona netanyau katoa speech ya kuimiza wananchi wa Iran wamtoe ayotolah cjui walitarajia wananchi waandamane kumtoa ?
Hapo ndio nkajua kashindwa yeye anawapa wananchi mzigo

ndio utanshangaa yani..wakati hapo tel aviv kila siku watu wanaandamana hawamtaki yeye badala aangalie hali yake anahangaika na Ayatolah
 
Mbona unajipinga mwenyewe? Kama Mungu anaweza ruhusu basi hashindwi ruhusu wafutwe. Mfano kwenye Bible mbona alilifuta kabila la Dani...
Rudia kusoma tena nilicho andika ndugu zitto junior . Nimeandika kuwa anaweza kuruhusu kuchakazwa/kupigwa na maadui ili kuwafanya wamrudie Mungu- waache maovu na sio kuruhusu kufutwa.
 
Ona huyu mwendawazimu.
Tofautisha taifa na wana israel.
Wana israel huwezi ukawafuta ila taifa la Israel unaweza.
Nchi za zamani ziliwezaje kuwatesa hao wayahudi ishindikanike sasa!?
Tatizo umejaza upupu wa dini kichwani.
 
Kwangu hiyo ni stori tu ya kujaribu kuonesha Kwa walimwengu kwamba angalau nao Wana mpango wa kuwashambulia waajemi. Taarifa kama hii ni sensitive sana. Nb inaonesha namna Gani Israel ni nchi kibaraka tu Kwa Marekani kwani Kila kitu wanachokifanya wanamshirikisha US
 
Ona huyu mwendawazimu.
Tofautisha taifa na wana israel.
Wana israel huwezi ukawafuta ila taifa la Israel unaweza.
Nchi za zamani ziliwezaje kuwatesa hao wayahudi ishindikanike sasa!?
Tatizo umejaza upupu wa dini kichwani.
Hakuna taifa bila watu.
Watu ndio taifa.
Huwezi kuwafuta wana wa Israel (Jews).
Walishindwa wafalme na wafalme utaweza wewe.
Mtawapiga vita sana ila mwisho wake wanageuka washindi kwa sababu ni wateule.
 
Hahahahahaha mlokole huyu sio buree
 

View: https://x.com/VividProwess/status/1848507055943913800
 
ndio utanshangaa yani..wakati hapo tel aviv kila siku watu wanaandamana hawamtaki yeye badala aangalie hali yake anahangaika na Ayatolah
Alipata sapoti ya watu wa JF ye alitarajia wa Iran watamskiza
Sijui aliwaza nn fala yule
Ila kwa wabongo kusikilza marais wa nchi za wengine na kumpuuza rais wao ni kawaida
 
Hakuna taifa bila watu.
Watu ndio taifa.
Huwezi kuwafuta wana wa Israel (Jews).
Walishindwa wafalme na wafalme utaweza wewe.
Mtawapiga vita sana ila mwisho wake wanageuka washindi kwa sababu ni wateule.
Una uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…