Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

BabΓ  mwenyenyumba aombe simu?mimi yangu inakaa hapo pembeni ya bed side ikichajika na ya mama watoto.
Sababu silali ukutani nikiitaka nanyoisha mkono tuu kuichukua.

Mimi silali na simu kitandani.
Mwisho wa kubonyeza simu ni saa tatu.

Saa tano simu yangu Ina jizima automatically. Saa kumi na nusu inajiwasha.
 
Wahi ukumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…