Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

Chid benzi aliwahi kumshauri Makonda kwamba aangalie pia na Magereza yaweze kukarabatiwa maana kule yeyote anaweza kwenda. (Sina uhakika kama nilimkariri vizuri Chid)

Wengi tulimpuuza tukajua labda ni bange ndiyo inaongea
Chidi benz alikuwa na point.
 
Manara huyu tapeli aliyekuwa anatapeli watu hadi akajiuzulu ukatibu mwenezi wa ccm analalamika kuwekwa ndan
 
Reactions: Tui
Manara huyu tapeli aliyekuwa anatapeli watu hadi akajiuzulu ukatibu mwenezi wa ccm analalamika kuwekwa ndan
Mbona Makonda alipompa milioni 10 hakukataa?
Mojawapo ya dalili za unafiki ni kusema uongo.Alikuwa chawa wake.
Huu mgogoro wa ardhi wala haumuhusu.
 
Makonda hafai
 
Aliyeanza ni Makonda acha sinema iendelee
 
Hawa jamaa km wanagombea bwana.
Ila mke mbishi huyu zeru. Hajiamini km bwana ni wake sasa.
Ye ni kuchamba tu mabibi wenzie
 
Reactions: Tui
Mkuu makalio hayachagui kinyesi, na huyu Haji si mtu wa kuaminika si ndie aliyekuwa anawatukana Yanga na leo yupo wapi,huyu hana tofauti na wale wa Corner bar ambao wao kwao mtu muhimu ni mwenye pesa.
Kazi kusifia wanaume wenzake. Yeye aliwekwa ndani na bado akachukua milioni 10.Hana moral authority ya kumsema.Alikuwa chawa wake.
 
Mkuu makalio hayachagui kinyesi, na huyu Haji si mtu wa kuaminika si ndie aliyekuwa anawatukana Yanga na leo yupo wapi,huyu hana tofauti na wale wa Corner bar ambao wao kwao mtu muhimu ni mwenye pesa.
Haji siyo mtu lakini Makonda ni shetani kabisa
 
Manara huwezi kuwa uliwekwa ndani bila sababu bhana labda useme kingine! Yaani uwekwe ndani tuu?
Eti Makonda amuweke ndani Simba mwenzake kindakindaki enzi hizo! Hainiingii akilini.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…