Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Kabisa shosti, hivi unaweza uza asset zaidi ya milioni mia ukatumia pesa yote kufanyia starehe kweli bila kukumbuka mtu aliyekufadhili wakati ulipokuwa na shida, nimehuzunika sana kwa kweli pesa wanafaidi wanawake wengine oopss [emoji25][emoji24]
Pole mwanamke mwenzangu Mungu akufanyie wepesi na pia shukuru umejua true color yake hata angekuoa angekuja kuwa anakupiga matukio mpaka ushangae, mtu anayesahau alipo toka na watu waliolia naye kipindi kigumu Cha msoto wake hafai kabisa, mwachie Mungu, funga Sali na mtoe moyoni huyo hakuwa fungu lako, ukitulia atakuja atakayekupemda na kukuhudumia ka mke na kukutimizia yote.
 
Shemeji yako yaani mwili umekuwa mzito kukubaliana na hali halisi 🥲

Nimekuwa nikiambia my fellow mates here kwamba wachuchu wapo wengi, so never mind when someone decides to part ways ...

Same message goes to u darling...kuna plenty of nice dudes out there...huyo mmoja anaweza akawa kauvunja moyo wako, lakini hajaondoka nao
 
Tunataka ready made bwana, mambo ya kuvulia akiwa na shida akukimbie nini hyo ka ku bet tu ni hatari, Bora kumfata mwrnye nacho
Ziwe ready made au umemsaidia kutafta mwanaume akiwa na pesa asilimia kubwa ya wanawake atakao kutana nao watampa green light ya kuwafukuzia hii haipeukiki. Mbaya zaidi wanaweza kuwa na viwango kuliko wewe. Kwaiyo hata kwa huyo wa ready made unaweza kuenjoy pesa zake kwa mda mfupi then nafasi yako ikachukuliwa na mdada mwingine

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu kuw uyaone
 

Hautokubali vipi prisca? Unataka upigane? Wakati mwengine Hakuna haja ya kulazimisha mambo take it easy litapita..... au na izo hela ndo zinazokuuma sio uyu mumeo?
 
Nyie mnaoshauri acheni ameshafanya maamuzi huyu! Keshasema hakubali hili lipite sasa tulieni msikilizie atafanya nini Kama ataroga sawa Kama atafanya tukio la ushetani sawa!.
Ila baharia mwenzetu huko alipo ajiandae kwa mabomu motomoto!

Hamna kitu atafanya mkuu! Sizani kama kuna haja yakupambana n riziki isiyokuwa yako mkuu....
 
Pole sana dear, ata Mimi najitahidi nisiwe ivyo Ila naona nashindwa! Nlkua vibaya Ila sasa Mambo yamenyooka kiasi mwanamke niliekua nae inatokea tuu namwona hafai sijui kwann, naomba sana nishinde hii hali.
 
Exactly
 
Mkuu umeenda deep sana ..na huo ndo ukwel...Demu alijiachia tuu coz pengine hakumuelewa jamaa kivile so akawa anaendelea kupokea requests na pengine kuna uwezekano alikua ana waendekeza so called Marafiki wa kiume + kuwekana ma status ye anaona sawa tuu kumbe muhuni anamlia timing tuu ..jamaa kaja kuzipata kaona ampige chini
 
Wakati hana hela unakumbuka kauli zako za dharau na maneno yako ya jeuri ambayo yalikuwa yanakutoka tu bila brake kisa mwanaume wako kipindi kile hana cha kukufanya na wewe ukaona ndo mda wa kuishi nae kwa dharau,mda wa kumjibu unavyotaka!!!

Sasa nikupe tu taarifa yale maneno yako hakuyasahau kule kumpangia kwako mda wa kumpa papachu napo hajasahau.

Upuuzi uliokuwa unafanya kipindi hana hela ni bora uache mara moja maana ndo mda wake wa kulipiza kisasi.

Hela inamfanya mwanaume kuwa na high libido hilo nakubali,linamfanya apate attention kubwa hilo nakubali.Ila ukiona umalaya umekuja na dharau za wazi wazi ujue ni mda wa malipo,jitathimini.
 
Kwa ushauri huu mtaendelea kuliwa na kuachwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dah umenikumbusha mwaka juzi yule kima Mungu ampige laana nilikuwa natoa nauli ya kwenda kutafuta kazi,kula juu yangu alivyopata kazi nyoko yule alinipiga na kitu kizito siku amini ila namshukuru amenifunza kuwa kauzu zaidi ya dagaa[emoji51][emoji51]
Kuwa kauzu sana sana kutakuzeesha tu. Cha msingi ukiwiwa kumtendea mtu jema,mtendee pasipo kutarajia kulipwa fadhila. Utaishi kwa raha sana.
 
Kinachonishangaza comment za hivi mleta mada ni kama hazioni vile.
 
Ukiona wa hivyo ujue ndio tabia yake. Alikuwa ametulizana tu sababu hana hela. Mbona wapo wengine siku anazo , siku hana huoni tofauti??
 
pole

ndio ujue kwa nini siku hizi wanawake wenzio hawataki mwanaume wa kuanza nae maisha.

akizipata anakuona wewe kolo tu!!!
 
Ukiwa fukara huna chaguo utakula msosi ulionao, ila ukishapata pesa una machaguo ya kula ule msosi ambao ulikuwa unautamani kwasababu unaweza kuafford.
Ugali bamia unakulinda wakati wa matatizo ukishatoboa unabadilisha kwa chakula kingine
 
Acha tule pesa zetu kwenye kutafuta tunatumia akili kubwa,mana hatujui kudanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…