Hakika wanaume wenye tabia kama ya Messi tumebaki wachache sana

Kupanga ni kuchagua,wanaume mnaweza kuwa loyal mkiamua...

Suarez pia nilisikia mke wake wameanza mahusiano tangu enzi na enzi
kiufupi america kusin wamejaliwa hiyo kitu sio messi tu kuna aguero,bonnucci na philipe luiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…