Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

Na ukristo vilevile umesahau kugusia maana haujaanzia tukuyu
 
Na kwanini uchukie dini isiyokuhusu! Si wendawazimu huo🙁

Ni kweli Shem.
Ni uwendawazimu.

Ila Wao ndio wanaongoza kwa Chuki na matusi.
Mfano mzur ni hii post kuna jamaa katukana sana huko post za juu.

Kuna waislam wachache wanajadiliana na Wakristo kwa hoja. Na sio kitu kibaya.
Ni kupata ufaham zaid.

By the end of the day. Kila mtu anabak na anachoamini.

Kama kuna mtu anajitutumua JF kwa kutoa hoja zake za kidini kwa nia ya kusilimisha au kubatiza watu bas ana tatizo la akili.

Watu wanatoa hoja humu ili kuelezea info zaid kuhusu jambo fulani la dini fulan. Ni Elimu inayoongeza ufaham na maarifa.

Simple as that.
We Dont take it so serious.
 
Wewe upo hivyo ni sawa kabisa , ila jua kabisa sio lazima kila mtu awe kama wewe , na kuwa kama wewe sio kipimo cha ukamilifu .

Note;Mambo ya imani ni ishu ya mtu binafsi , ila ukiyaleta public kwenye jamii ya imani tofauti na wasio amini tegemea kupopolewa kwa namna yoyote ile.
 
Umeandika ukweli mtupu kuna wapuuzi fulani humu kazi yao kuponda imani za wenzao ujumbe uwafikie na wakome mara moja kama walivokoma kwenye maziwa ya mama yao...Nimeshawaambia swala la imani ni swala limekaa kimafumbo na mitego mikubwa hakuna binadamu yeyote wa kizazi hiki ataweza yote..Washike walichonacho finali ni huko tuendako baada ya kufa..HAMIS 77 aione kwenye jalada.
 

Kujilinda kwa kutukana ni udhaifu.
Na kama mtu ubongo wake hauwez vumilia hizi small disappointments bas haujakoma na inafanya usikomae pia.
 
Din zote mbili zinafundisha chuki na kujitenga

Usifungwe nira na wasio amini.

Yesu ndie njia ya kweli na uzima .

Dini pekee ya mwenyeenzi Mungu ni uislamu .qur'an 3 .19

Asiyefuta dini ya uislamu hatokubaliwa qur'an3 .85

Chanzo cha ugomvi na tambo zote ni maelekezo toka kwenye vitabu vyenu vya kiimani
 
W
Watu wako serious sana humu shem! Mtu anaonesha true colors mpaka mwisho😅 kama vile katumwa.. halafu cha ajabu haya mambo mi siyaoni mitaani ila mitandaoni🙌🏾 Kwa kifupi hakuna mtu ambaye atafata ushauri wa mtu kisa kaona tu maandishi labda tahira na wale walokosa misimamo, ni kihemko tu kila hoja🤥
 
Ni ujinga tu, kila mtu aheshimu imani ya mwingine kama tunavyoheshimu mila na desturi za watu
 
Huyo white mwambie atoke hapo, haoni wenzie wote magiza?
 
Watu wa dini miyeyusho sana. Kuna wengine hata kutofautisha Dini na Mungu hawajui.

Utasikia dini inakataza, dini inasema hivi. Ukimuuliza Mungu anasemaje anabaki kuweweseka.

Watu wa dini wanazidiwa upendo hadi na Wapagani.
hao ni waislam, kwingine hawashadidii na kujinasibisha na dini. Wanakuambia Yesu mwenyewe alizikuta dini na akaziacha, kulikuwa na dini za kiyahudi kama mafarisayo na masadukayo wana misimamo mikali balaa, ni kama hawa waislam miaka hii wanakuambia hawabadiliki, mafundisho yao ni yaleyald karne na karne miaka nenda rudi hadithi za mtume ni zilezile hata uende wapi utazikuta zikisimuliwa. GEN Z wa kikobazi wameona ni ujinga wameamua kuachana na uislam waishi maisha huru bila kufungiwa kongwa la dini hiyo wanakula kitimoto hawadhuriki, hawana muda kusikiliza mawaidha msikitini wakisikiliza wazee walioharibiwa akili zao kudanganya watu kwa hadithi za kutungwa
 
Sasa hapo shida nini? Kila mtu akakae na kitabu chake..
 
huyo mjuba yuko vizuri wewe, we ni vuguvugu unaonekana
 
Dini zisipo kosolewa ni hatari zaidi ...tumia akili ...nimegundua una akili ndogo sana ...moja ya dhana mbaya sana za kidini ni kujaribu kuzuia dini kuhojiwa hii ilifikia hatua ya watu kuuliwa kisa wanahoji dini .... mijadara ya dini inasahidia sana kuua nguvu za kigaidi na za kidicteta za kidini ambazo utumika kufanya mambo maovu na kupotosha.
 
Muandishi sio mmoja hivyo sijui na sitaki kujua kitabu kisichonihusu cha kazi gani mimi? Nina imani moja nikafunue yasionihusu ya kwangu nimeyamaliza?
Walokole wanawapopoa na kuwatenga walutheri, wasabato , wakatolic na nk

Wasabato wanawapopoa wakatoliki

Huku mnaJifanya kukataa kupopoana wakati hata madhebu yenu wenyewe mnapopoana mbali hata na dini tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…