Hakuna watu wa ovyo kama wakosoa imani za wengine hapa JF

CCM wametengeneza hili janga taratibu tutaelewana.

Sasa kama mtu anajitokeza anasema atakata watu wa upande wa pili vichwa unategemea nn!?
 
sio kila mtu anataka aende huko mbinguni/ peponi unakotajaria wewe Duh😀
 
Mkuu naunga mkono hoja!
Watu wanaoongelea dini huku Jf naonaga kama wamechanganyikiwa..!!
 
 
CCM wametengeneza hili janga taratibu tutaelewana.

Sasa kama mtu anajitokeza anasema atakata watu wa upande wa pili vichwa unategemea nn!?
Lakini zake zinahesabika.. Soon tutarudi kwenye mstari
 
Ujui historia ya dini .... pia akili zako ni ndogo sana ...moja ya watu wenye akili finyu hapa jf ni wewe na yule mayalla....leo watu wamefikia kudanganywa na wahuni kina mwamposa kwa sababu ya dhana kama zako wanakuambia usimkosoe mtumishi wa mungu ...tena ukubali kila anacho sema ...wengine wamefikia kuvishwa mabomu na kujiripua wakiamini watafufuliwa wakiwa ni waarabu siyo wabantu tena ..
Zamani kabla ya sisi kukosoa hizi dini ilikuwa kutaja jina la mudi boy tu unatishiwa maisha ...hoja kama zako ndiyo zinatumika Zanzibar hadi waislamu wamefikia hatua ya wao wakifunga basi ni lazima na wasio waislam wafunge ila hakuna anaye ongea ...kunyamazia upumbavu ni kuufanya upumbavu uzidi kukuwa....unasemaje dini zisizungumziwe je hao mitume na manabii wa hizo dini walifunga midomo au walimzuia mtu kuzungumzia dini ....Mungu katika torati ana waambia waisrael kuwa maneno haya yasikauke vinywani mwenu myaseme masikioni mwa watoto wenu ....uwezi kuwa na akili kisha ukaruhusu dini kisha ukazuia dini kuzungumziwa ...huko ni kutengeneza dini kuwa chombo cha kihalifu na kitapeli ..kwma tulivyo fika kwa sasa ...

Mshana Jr ungekuwa na akili basi ungependekeza serikali kuondoa mambo yote ya dini kwenye shule za elimu dunia ..dini zifundishwe madrasa na Sunday school tu
 
Wakristo wa kisasa hawataki ujingaujinga wa kuwaongopea watu:

Hii ni dunia ya Tehama kwa sasa.
Kwanini unaandika uongo kijana ? Mbona mnaongepewa makanisani na hamchukui hatua ?

Au unaandika usichokijua au umekusudia kupotosha ?

Nyinyi mngekuwa kweli hamkubali kuongopewa, leo hii Ukristo usingekuwepo.
 
Hapo awali Wakristo hawakuwa na habari kabisa kuhusu Uislamu na Qurani:
Soma Historia, unaongelea Wakristo gani na awali ipi ? Watu wameandika vitabu zaidi ya miaka mia saba, kuhusu upotoshaji wa Ukristo na kuikosoa Qur'an.

Kingine Uislamu umeanza kupigwa vita tangu na tangu, sababu hakuna nabii wala Mtume ambaye hakuwa Muislamu, wote ni Waislamu, na walipigwa vita kwa sababu ya Uislamu wao.
 
Nasikitika sana umepaniki kupita kiasi na kufikia kutoa kashfa😀 wakati hata msingi wa mada na maudhui yake umeviacha mbali kabisa.. In short umepuyanga huku ukiandika gazeti lililojaa vitu visivyoeleweka
Anyway iko hivi. Msingi wa hii mada umejieleza tosha kwenye heading.. Kama umeshindwa kuelewa hata kichwa cha habari sidhani kama maudhui utayaweza

Hizo mambo za kusema nina akili ndogo sana ni za kawaida sana kwangu na utambulisho tosha wa hii picha hapa ambayo nakupostia tena!

Waswahel wanasema DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA
 
No evidence supports the claim that Mshana Jr is the "most stupid man" on Jamii Forums (JF). On the contrary, he is one of the platform’s most prominent and respected members.
Based on community discussions and platform data as of 2026:
Reputation and Expertise: Mshana Jr is widely regarded as a knowledgeable "Platinum Member" with expertise in diverse topics, including politics, sports, international affairs, and traditional African beliefs (such as uchawi or witchcraft).
Community Impact: Members have publicly credited him with providing life-changing advice and support during personal crises, such as depression and relationship issues.
Active Engagement: He is consistently recognized as one of the top contributors on the platform, known for posts that generate high levels of engagement and "all-time best contributor" status across multiple forums.
Tone of Posts: While some of his topics (especially those regarding spiritualism or superstitions) can be controversial, he is often praised for his calm demeanor and willingness to share "gems" of information with the community.
Criticism of any popular internet personality is common on open forums like Jamii Forums, but the prevailing consensus among active users as of 2026 is that he is an influential and "very important" member of the platform.
imebidi nikaiulize akili mnemba 😀
 
Waislamu wanaonewa sana humu. Wanatupiwa kashfa na matusi ya nguoni. Watu hawajui jinsi ya kufanya midahalo yenye afya.

Naamini ipo siku atatokea muislamu mmoja humu mwenye uelewa mpana na ataweka kila linalotakiwa sawa.
Hawatukanwi wanatukanana usizunguke zunguke na kwanini wewe usiisome hiyo dini yako ukaja kuwasemea wenzako unaoona wanaonewa humu?

Kinachowafanya kuanzisha mada za dini isiyokuwa yenu ni nini?mnastahili hata hao Wakristo wanaoanzisha mada za dini ya Kiislam wakitukanwa ni halali yao.
 
 

Attachments

  • CF1C62EC-F3FD-49E5-BCC2-4514FBA6F54D.jpeg
    309.1 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…