Hali inayoendelea sasa Ndg Zitto, Mwigulu, Shonza, Nape, Mchange na Mwampamba wahojiwe

Status
Not open for further replies.
TWENDE KAZI,,,POLISI KAMATA MWIGULU,KAMATA MWAMPAMBA, KAMATA SHONZA,KAMATA BEN SAANANE,FINYA HAO,LAZIMA WATASEMA UKWELI.
Chezea Siasa Wewe?
 
Mbona hauko consistent? Unataka ushahidi au unakubali kuwa Deus Mallya ni rafiki yako wa karibu? Kama unamkana sema nikuletee ushahidi.

Ninakumbuka kipindi kile kwenye lile swala la kipuuzi la kuitana masalia alikuwa akiulizwa swali analijibu kinaga ubaga lakini kwenye huu uzi unaohusu swala makini anajibu kimkato mkato tu! Mara leta ushahidi, mara siyo dhambi kujuana na mtu, mara nitajibia mahakamani. Wala haeleweki.

TIME WILL TELL!
 
Ben,
Wewe subiri Lwakatare na Ludovick wakutaje ukathibitishe ile sumu uliyopewa kumpa Zitto. Kwa sababu ulishakiri itarahisisha kazi ya hakimu...
Unaendelea kuanika mipango yenu mufilisi. Tunasubiri aliyerekodi hiyo kwanza awe shahidi wa kwanza, na wewe unaeyajua haya unaweza kuisaidia polisi
 
Wanaosema Ben ni muuongo wao ndiyo akili ndogo maana kama kaonyesha topic zilizorushwa na wahusika walizichangia kuwa ni kweli kuna movie itakuja na itakuwa pigo la mwisho kwa chadema kwa nn tusiamini?
Pia wengi wetu tulichangia topic hizo leo tumejitoa ufahamu hii c sawa wakuu.
Cha muhimu ni kwamba JF ni jumba la kumbukumbu za walichotupia humu.
 

Usitie hofu kulikea gharika enzi za Nuhu na dunia inadunda litakuwa hili.
 

Nakubaliana na wewe Ben,
Lazima tuache uwoga wa kufa, hakuna asiyekufa ambaye ana hati miliki ya dunia.
Halafu tukisema kwamba Ben aache mapambano kwa sababu ya hatari sasa amwachie nani? Maana hata kwenye mada niliyorusha juzi watu walinishauri hivyo. Mara nyingi watu wananishauri niache kuandika mambo mazito kupitia Jf. Wako wanaJF na marafiki wa kawaida wengine wanaotushauri tuache mapambano hayo kwa watu wachache. Sasa tumwachie Kila kitu Dr Slaa, Mbowe na wengine wachace peke yao? Mapambano lazima yaendelee, nisipofaidi matunda ya nchi kwa sababu ya tishio la kung'olewa meno na kutolewa macho au kufa, basi watoto wangu na wajukuu zangu na watanzania wote watafaidi. Zaidi sana Wataipongeza kaburi langu na kama tukikutana Mbinguni watanipongeza kwa kazi nzuri niliyowafanyia kupitia JF na maeneo mengineyo.
Tusimkatishe tamaa Ben Saanane.
 
  • "The guilt are always afraid!", the preemptive defence mechanism at eleventh hour, won't help much!, payback time ya ushujaa wa ki Yuda Iskariot!, inakaribia!.Ushauri wa bure, "come clean, the sooner the better!.".
Sikutegemea mtu kama wewe uwe judgemental
 
Kuna wakati huwa nafikiria hata kuwatafuta wake za hawa wanaotuharibia na kuwagegeda huku nikiwarekodi, wao wakipika jambo mimi natundika kwenye mtandao za wake zao.
Mwisho wa mchezo huu wataumbuka tu na siku zote ukweli utadhihiri na CHADEMA itabaki kung'ara.
 
ben saanane,wote uliwataja wakamatwe uko sahihi ila na ww lazima ukamatwe tu huna jinsi ya kulikwepa hili mshangao ulionesha tu inatosha sana kukustukia inteljensia yako imenistua pia hata slaa kuongea na waandishi pia amethibitisha hayuko makini

M23 magaidi ya Congo?
 
hivi huyu Mwigulu ana Mungu wake peke yake? Mabaya mengi anayoyafanya kama kuchonganisha watu, kununua haki, wake za watu, dhuluma za madini yeye na Rz1 Huko sekenke!! Kweli shetani ana nguvu sana,
 

Mkuu tupo katika ya machafuko; mfano sina staha na CCM na wote wanaohusiana na kabisa kwa wanayonifanyia
 
huyu Mungu atasingiziwa mengi mwaka huu, enhe kipi chama cha shetani? CUF,NCCR?TLP,CCM,UDP? acha hizi mambo. we need facts hapa toka kwa BEN hatutaki longo longo...

enhe kipi chama cha shetani? CCM
 
Mmh, chadema mnalo!
Tabu ta kuiba na watoto waoga, likitokea la kutokea utawasikia
'mie sijafanya kitu'
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…