Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

Halmashauri inayofuata kuwa jiji la 7 Tanzania ni


  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Una kitu utafika mbali ,yaani wewe ni mmoja wa watoa maamuzi ,hapa unachukua maoni ,safi sana...Umeelezea vizuri sana ,huwa nachanganya Halmashauri na Manispaa.
 
Miji yote Tanganyika iliyojengwa baada ya uhuru ni ya hovyo.

Haina mpangilio na karibu yote haina mifumo ya maji taka. Miji yenye mifumo ya maji taka nchini iliwekwa na wakoloni. Na tangu waondoke hatujaweza kuongeza hata km moja kwenye hiyo mifumo. Wamejaribu kwa Arusha hapa karibuni lakini 99% ya miji mingine yote haina maji taka. Ndiyo kusema miji imetapaa vinyesi tu.

Pia sehemu za miji yote Tanzania ambako kuna mpangilio na mitaa inayoeleweka ujue ilijengwa na wakoloni. Miji yetu haina parks wala garden. Nyumba zinajengwa hazina mvuto lakini unaambiwa wapo maafisa ardhi kabisa wameajiriwa na wanalipwa mishahara. Ajabu sana
 
Reactions: FWC
Wilaya ya Tanga ilikuja kuwa Jiji miaka ya 1970 by kipindi ilikuwa ina kubwa sana la fedha kutokana na mkonge na maelfu walikimbilia huko kutafuta ridhiki..
Hapa umechapia Mkuu😆😆
Tanga ilipata hadhi ya manispaa mwaka 1983 na hadhi ya Jiji mwaka 2005
 
Kahama naikubali
 
Kusema ukweli Moshi ibastahili sana sana ila politics za CCM kutokubalika sana pande hizo ndio zinazokwamisha haki kutendeka.
Endeleeeni kumkumbatia mzee tu hadi tutaelewana.
 
hii kitu inashangaza sana aisee,
hata dodoma pamoja na kupima viwanja lakini huoni miundombinu ya maji taka!
 
Labda Kahama kama baada ya miaka 15 ijayo

ila Morogoro na Moshi ni makubwa jinga


Kinondoni ni sehemu ya Dar

Hao wengine waendelee kulima karoti tu
Kahama na Moshi zinasifa zote
 
Ukweli Kahama inatisha huwezi kuilinganisha na Moro au Tanga, nilifika mwaka jana hadi aibu asee
 
Chato.
 
Makampuni yanaangalia centre za biashara na eneo ambalo watayafikia kirahisi maeneo mengingine
 
hii kitu inashangaza sana aisee,
hata dodoma pamoja na kupima viwanja lakini huoni miundombinu ya maji taka!
Ni hatari sana

Pia kwa nn wapanga miji wasiwe na majengo yenye mvuto angalu hata katikati ya mji?

Ukiangalia Kariakoo pamoja na maghorofa mengi lakini yanaonekana kama uchafu tu. Wakati wapanga miji na wachora ramani wangeweza kabisa kuamua aina ya maghorofa kwa kila mtaa lakini wapi. Kila mtu anajenga anavyotaka, na maji machafu mifumo imezidiwa uwezo basi ni vinyesi tu mtaani.
 
Ila hifadhi ya mlima Kilimanjaro ni ipo wilayani Rombo
Hapana KINAPA imezunguka sehemu kubwa Mkuu hadi huko Machame napo ipo.

Moshi Manispaa ni tofauti kidogo na Arusha ambapo wao wapo karibu na Meru ila hifadhi ya mbuga ya Arusha yenye huo mlima ipo Arumeru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…