Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Niliweka uzi hapa watu wakanipinga,Aziz key ni mshika pembe tu pale,hatabusu la shavuni hajawahi kupata,atajikuta signing fee yote inaliwa na mzigo hapati,mobeto ni kajambazi
Wewe ulisema tofauti bwana. Kwamba Hamisa anatumika kumbakisha Aziz Ki Yanga, anamchuna sijui nini ndio nikakwambia wala hawana mahusiano Hamisa yupo na Kigogo pale Yanga.
 
Hahaha...............Wazee tumechoka kunyanyaswa na Vijana 🤗

Bora turudie enzi za Mzee Machache, tu-take over

Maana Mzee mwenzetu alijitahidi kutuwakilisha Wazee wenzake kwenye hiyo Sekta 😜
Machache ana sanamu lake mioyoni mwa wadada kwakweli, alijua kuuchapa muhuri wa jina lake mioyoni mwao.

Ana sifa moja kuu, roho kunjufu.
 
Hilo jambo linaniumiza sana, lakini ipo siku atampata wake wa kudumu. Bado ana nafasi.
 
Kwa sisi wanaume, jambo kama hili ni la kawaida sana kitokea. Binafsi nimelichukulia kama ni la kawaida sana.
 
hv nikiweka 1000usd mezani kwa usiku mmoja atachomoa kwel?
 
Manara kazi yake ni kuwauza mastaa, hapo keshakula chake hana habari tena, jamaa dalali flani fala hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…