Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Umeshawahi kuona mtu anazikwa na nyumba na magari yake?Ndio maana u maskini. Unaendekeza umalaya na kuhonga bila sababu.
Ukizipata usiache kuupa mwili furaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawahi kuona mtu anazikwa na nyumba na magari yake?Ndio maana u maskini. Unaendekeza umalaya na kuhonga bila sababu.
🙏🙏🙏Nashukuru Babu, hizi ni baraka kufurahisha wazee wangu.
Wewe ulisema tofauti bwana. Kwamba Hamisa anatumika kumbakisha Aziz Ki Yanga, anamchuna sijui nini ndio nikakwambia wala hawana mahusiano Hamisa yupo na Kigogo pale Yanga.Niliweka uzi hapa watu wakanipinga,Aziz key ni mshika pembe tu pale,hatabusu la shavuni hajawahi kupata,atajikuta signing fee yote inaliwa na mzigo hapati,mobeto ni kajambazi
Machache ana sanamu lake mioyoni mwa wadada kwakweli, alijua kuuchapa muhuri wa jina lake mioyoni mwao.Hahaha...............Wazee tumechoka kunyanyaswa na Vijana 🤗
Bora turudie enzi za Mzee Machache, tu-take over
Maana Mzee mwenzetu alijitahidi kutuwakilisha Wazee wenzake kwenye hiyo Sekta 😜
Hilo jambo linaniumiza sana, lakini ipo siku atampata wake wa kudumu. Bado ana nafasi.Pengine Hamisa ana shida kichwani au ametupiwa kitu anapaswa kwenda kwa Mwamposa ni wazi ana mikosi😂😂😂. Shida ya Hamisa sio kupata mwanaume wa maaana shida ya Hamisa ni kumtunza to keep…..! Huyo kigogo atajipigia halafu atamtupa wengine watakamata! Hamisa anayoshida lazima amtafute Mwamposa au Gwajima😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Kwa kweli alijitahidi, Tena alikuwa anachapa PisiKali tupu 🙌Machache ana sanamu lake mioyoni mwa wadada kwakweli, alijua kuuchapa muhuri wa jina lake mioyoni mwao.
Ana sifa moja kuu, roho kunjufu.
Duh uko vizuri sana kwenye ujasusi wako. Hongera sana mkuuNaam.
Ila Kigogo nae kumbe mwingi wa habari, hukohuko kwenye kupewa hii habari ndio nikapenyezewa ameshawala waandishi wa habari wengi tu!
Kwa sisi wanaume, jambo kama hili ni la kawaida sana kitokea. Binafsi nimelichukulia kama ni la kawaida sana.View attachment 3005811
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa.
Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho!
Wawili hao walikutana kwenye ndege wakati wa kuelekea kwenye mechi ya marudiano ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, CAFCL dhidi ya miamba ya Soka ya Afrika ya Kusini Mamelody Sundowns.
Kigogo huyo kijana mwenye haiba ya kitanashati na mwenye sifa kuu tatu wazipendazo zaidi wanawake kutoka kwa wanaume… tall, dark and handsome jina lake hutajwa kwa kutanguliwa na taaluma yake.
Inataarifiwa kwamba wawili hao walizama penzini punde tu walipokutana kwenye ndege, na hadi kutua S.A penzi lilishachipua!
Taarifa zaidi zinasema hata uwanjani walienda kwa gari moja, na walikaa jukwaa moja!
Aziz Ki atumika kuokoa jahazi!
Mwamba kutoka Ouagadougou, Stephen Aziz Ki anatajwa kutumika kuinusuru ndoa ya Kigogo huyo wa Yanga mara baada ya mkewe kushtukia mchezo.
Kama mnavyotujua wabongo huwa tunanyimana michongo ila sio umbea, taarifa zilimfikia mke wa Kigogo ambaye aling’aka na kupelekea ndoa kuwa rehani!
Mwamba Aziz ambaye anatajwa kama mchezaji pendwa zaidi na Kigogo huyo klabuni hapo, ilibidi atumike kutengeneza mapichapicha ya kumpoza mke wa Kigogo.
Ndio yale mliyoona mara wako pamoja wakitokea uwanja wa ndege, wakikumbatiana uwanjani na kwingineko yote yale ni maigizo, Ki hana mahusiano ya aina yoyote na Hamisa bali alitumika kumnusuru boss na mshkaji wake kuepuka dhahma kutoka kwa mke wake.
Penzi hatarini kuvunjika muda wowote!
Baada ya wambea kumsanua mke wa Kigogo, inasemekana wapenzi hao wako hatarini kuachana muda wowote kutokana na suala hilo kumkalia vibaya Kigogo.
Mke wa Kigogo ni dada wa anayetajwa kama mfadhili wa taasisi ya anakofanyia shughuli zake Kigogo. Hilo linamuweka pabaya zaidi Kigogo kwani endapo akiendelea kutoka na mrembo huyo kimapenzi huwenda kibarua chake kikawa hatarini kwani mfadhili hatoweza kuvumilia kuona dada yake akinyanyasika juu ya penzi hilo la mumewe na Hamisa.
Hamisa kiboko, sio mchezo!
Jamani Hamisa apewe kombe lake, ikishindikana basi hata maua maana anastahili. Ndani ya miaka hii mitatu ameshatoka na vigogo kutoka kwenye klabu zote 2 kubwa nchini, achilia mbali kuzaa na wanaume wawili maarufu na wamiliki wa redio 2 kubwa nchini!
Hapo kabla alianza kutoka na Kigogo kutokea Simba, japo penzi lao lilikuwa mithili ya upepo kwani halikudumu.
Lakini licha ya kutokudumu, penzi hilo lilitumika kama chambo kumpatia Mwijaku ajira Simba.
Chanzo changu nyeti kimesimamia show,
Nifah.
Lina tatizo .Kwa upande wa Vanessa kashera...au Nako ni uongo?Aziz ni swahiba mkubwa wa Kigogo, wameshibana sana.
Hivyo alitumika kishkaji tu kumnusuru mshkaji wake Kigogo, na hata hivyo hilo halina tatizo lolote kwa Ki kufanya hivyo.
hv nikiweka 1000usd mezani kwa usiku mmoja atachomoa kwel?Wala sio Muhindi mwaya, siku nikipata baraka za chanzo changu nitaruka nao.
Yani Hamisa nampenda jamani natamani apate wa kutulia nae ila ndio hivyo tena.
Ila kichwa chake kiko vizuri, maisha anayoishi sio madogo na rahisi. Hamisa ndio mwanamke ghali sasa hivi kuliko mastar wote wa kike, amejua na kuweza kujibrand.
Ni pisi kali ila ndo hivyo tu hajabarikiwa ubongo nimemfatilia sana ila naona haupgrade kama pisi zingine, skendo nyingiKwanini wengi mnasema hivi? Shida ni nini?
Sema wewe ya kwako inayokufanya uone hana akili.
Manara kazi yake ni kuwauza mastaa, hapo keshakula chake hana habari tena, jamaa dalali flani fala hiviView attachment 3005811