Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Ila ni kazi nzuri.(joke).
Nadhan kinachotesa watu wengi ni kutokukubari kuwa binadam wote ni sawa lakin si sawasawa. Kwamba kila jamii ina standards zake na ni sahihi kwake jamii hiyo. Kuiga kuna maana endapo hakukutoi kwenye standards za jamii yako.
bahati mbaya waafrica tunaiga bila ku maintain standards zetu yan tamadun, mila na desturi.
 

Attachments

  • VID-20230104-WA0004.mp4
    1.7 MB
atusemi agano la kale kwamba limepitwa na wakati kwakuwa Mwokozi alisema hakuna neno hata moja litabadilika ilaaa kwa agano lake hili jipya amri kubwa aliyotufundisha ni UPENDO.
 
Ndiyo maana cr7 hajachora hago madude
 
Hapo tofauti zenu ni nini?
Aliyechora tattoo akatoa jicho na asiyechora tattoo akala jicho,
Kwenye ulimwengu wa roho nyote ni washenzi tena piteni huku [emoji117]
 
hayupo hata mmoja. sema kuna exceptions, mfano mtu alikuwa na maisha mabaya huko akajichora tatoo ambazo hazifutiki, baada ya kubadili maisha labda amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake, zile tatoo bado anazo. same applies kwa wanawake wanaojichubua, unakuta alikuwa amejichubua hadi anakuwa kama uyoga, baadaye anarudi kwa Mungu, lakini ngozi imeshaondoka. watu wa aina hiyo haipaswi kuwahukumu na kuona kama wenye tabia mbaya.
 
umesahau kuwaasema na wale wanaweka kipini kwenye ulimi, mdomoni na kwenye clitoris. just imagine.
 

Hakuna chochote juu ya tatoo hizo ni Imani zenu mlizodanganywa na wachungaji.
Kuna wamakonde chale wale kuchora tatoo ni sehemu ya tamaduni zao.

Kama ni laana ulevi uzinzi vingempata Messi na Carrier yake ingekuwa ukingoni lakini ndio mwanasoka aliyefanikiwa zaidi.
 
Failure zenu katika maisha mmeamua kuja kusingizia tatoo.
Wangapi hawana tatoo lakini wana tabia chafu vibaya mno
Pambaneni maisha hayahitaji visingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…