Huwezi kuwa "Independent Variable" wakati unapokea kila lisemwalo ukalimeza na kulisambaza.Siko Serikalini Wala TPA so siko kwenye nafasi ya kujibu Hilo.
Wa tag wahusika wapo kwenye social media..
Mimi ni independent variable
Aliyekuwa kwenye Timu ya majadiliano na Uchunguzi iliyoteukiwa na Mwendazake na huyu ni mteule wa Mwendazake pia.Huyu mbona ni mkurugenzi wa mambo ya anga anahusika vipi na bandari nguvu kubwa sana inatumika kutetea huu makataba
How? Mimi ni optimisticHuwezi kuwa "Independent Variable" wakati unapokea kila lisemwalo ukalimeza na kulisambaza.
Umeleta hoja, jibu hoja za majadiliano. Kama una hoja isiyo na ushahidi, usiileta humu JF
Siko Serikalini Wala TPA so siko kwenye nafasi ya kujibu Hilo.
Wa tag wahusika wapo kwenye social media..
Mimi ni independent variable
Jibu lake hilo hapo juuAkikujibu nistue mkuu
Manabii na mitume nendeni kwenye kaburi lake mkamfufue aje athibitishe kama kuna ukweli.😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”
Suala la TICTS mpaka mkataba ukaongezwa mwaka 2017 ni yeye pia. Ni kichwa fulani kimehusika kwenye masuala mengi ya kiserikali haswa haya ya mikataba.
Bora ungekuwa wa mda mfupi tungeona wamekurupuka. Kama ni wa muda mrefu na kuja na madudu kama haya, basi hii ni aibu kubwa kwa taifa😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”
Mtanikumbuka 😀😄😄 kudadeki!Aliyekuwa kwenye Timu ya majadiliano na Uchunguzi iliyoteukiwa na Mwendazake na huyu ni mteule wa Mwendazake pia.
Majadiliano yanaendeleaMtanikumbuka 😀😄😄 kudadeki!
Majadiliano yanaendeleaMtanikumbuka 😀😄😄 kudadeki!
Bora ungekuwa wa mda mfupi tungeona wamekurupuka. Kama ni wa muda mrefu na kuja na madudu kama haya, basi hii ni aibu kubwa kwa taifa
Majadiliano yanaendeleaBora ungekuwa wa mda mfupi tungeona wamekurupuka. Kama ni wa muda mrefu na kuja na madudu kama haya, basi hii ni aibu kubwa kwa taifa
Hamza hapa Tanzania ni mmoja tuMajadiliano yanaendelea
D’r Ally Possi, upuka kutukanwa kwenye mitandao.
Hujui ulisemalo. SGR ilianza kujengwa 2015 na muda mfupi uliofuatia ndio majadiliano yakaanza juu ya biashara za DRC na Rwanda, kuhusu namna logistic chain nzima itakuwa vipi.
Wamuache mzee wa watu alale kama alivyolala, kama wameamua kuuza uhuru wetu kwa waarabu waache historia iwahukumu wao.
Yeye Magufuli ana yake, haya ya bandari ni maujinga yao wenyewe.
Unakaa kilimanyege, mchamba wima, au kibanda maiti! Tafadhali address yako ni muhimuAkwepe Kwa lipi hasa baya?
Alipounda timu akaacha maelekezo wapewe DPW milele halafu akafa Kwa hiyo hatuwezi kupingana na Marehemu, si ndiyo?Kwa hiyo unapingana na huyo aliyesema waliunda Timu Toka kitambo au?
si kweli, ni vile marehemu hawezi kurudi dunianiMwendazake
Hujui ulisemalo. SGR ilianza kujengwa 2015 na muda mfupi uliofuatia ndio majadiliano yakaanza juu ya biashara za DRC na Rwanda, kuhusu namna logistic chain nzima itakuwa vipi.