Kwanza huyu rasta atuambie Mzimu ni nini, kisha atuambie amejuaje kama huyo aliyemtokea Mtume ni Mzimu.
Tuambie wewe aliyemtokea mtume wenu kule pengoni ni nani ?
Ni kwanini hakujitambulisha ?
Ni kwanini alimkaba na kumpiga mtume hadi akaugua ?
Ni kwanini alimlazimisha kusoma wakati alikuwa hajui kusoma ?
Yeye mwenyewe mtume wenu alikili mbele ya Walaga bin Naufal kuwa kule pangoni alihisi kutokewa na Mashetani.
Wewe tuambie unampinga vipi
mtume wako aliyekuwepo kule pangoni ?
Someni kitabu cha hadithi za mtume wenu halafu mkitafakari.
Ukweli ni kuwa kule pangoni mtume wenu alitokewa na Majini, ndio maana hayakujitambulisha.
La mtuambie hao masharifu wenu wanaijua dini bila kusoma wanaihifadhi Qurani yote kichwani, kwa kuwezeshwa na nani ?
Mbona mwishoni wanaishia kuwa waganga wapiga ramli na warozi, na kujiita shehe sharifu majini..!
Tunaongea hivyo ili mpate muda wa kutafari na kutambua.
Mtume alikuwa kama hao ma Shehe Sharifu majini wenu, waliompa utume ni (ashakum) majini Sharifu.
Soma hapa
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
{Ni nani anayezungumza hapo? au basi Surat Fatiha yote, ni nani anaongea? }
Jibu ni Majini wanao ongea kama sisi au nasi.
وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَائِقَ قِدَدًا
(AL - JINN - 11)
Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.
وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَائِقَ قِدَدًا
(AL - JINN - 11)
Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. "Nasi" tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّهَ فِي الْأَرْضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَبًا
(AL - JINN - 12)
"Nasi" tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
(Tafakari hao wanaojiita "nasi" au "sisi" katika Qurani ni akina nani ?
Usinichukie mimi, jibu hayo maswali.