Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

Unamjua Abd Allah ibn Sa'd?? Ex-muslim wa kwanza.
View attachment 2993806
Alikuwa mwandishi mkuu wa Muhammad. Baada ya kuona makosa ya kiuandishi kweny Quran, na Muhammad kufanya mabadiliko ya mara kwa mara. Alitoroka kutoka Medina kwenda Makka akaacha uislamu akamkimbia muhammad.
Alibainisha kuwa Quran ni uzushi na sio kutoka kwa mungu. Muhammad aliamuru auliwe 😂 😂 😂

Soma historia yake vizur utajifunza mengi usikaririshwe tuu na waarabu, Abd Allah ibn Sa'd is a real historical figure Sijamtunga
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Abd_Allah_ibn_Sa'd
Pumba.
Thibitisha wapi Qur'an na hadithi zimeeleza hii habari.
 
Jifunze kwanza kutofautisha kati ya Qur'an na lugha iliyotumika kuandika Qur'an.

Halafu njoo sasa tujadili
Hebu wewe mjuvi wa hayo mawili nipe tofauti halafu unijibu swali langu la msingi
 
Siku padri akisema tumsalie Yesu ntaacha kwenda church

Tumsalie mtume wetu jamani.........
 
Pumba.
Thibitisha wapi Qur'an na hadithi zimeeleza hii habari.
Sio pumba, he is a real historical figure na kuna evidence za uwepo wake na matendo yake kweny quran na hadith zenu.
Pumba ni wewe kwasababu hutaki kujifikirisha wala kusoma vitu nilivokutumia, hio link ya Wikipedia niliokutumia imesheheni quotations from the quran na baadhi ya hadith zenu, na kuna evidence pia ya Muslim historians walioandika wasifu, we kazi yako kubwabwaja tuu "thibitisha", inaonekana hio link yenyew hata hujaifungua, unaogopa nn?? Unaogopa ukweli??

Historia ya huyo jamaa ipo kweny hadith zenu na other historical sources, au unataka hadi nikuandikie hapa?

Na wewe tuthibitishie kwamba quran imeshushwa kwa kutumia other historical sources.
 
Tatizo ni pale unaamini uwepo wake halafu unalazimisha watu wengine waamini kama wewe, unawachinja wakihoji....
Amini matambiko yako, yafanye bila kulazimisha watu, kama vipi wahubirie kwa amani wachague wenyewe....dini moja imekua kero duniani kote hakukalilki. brazaj

main-qimg-7bfd56da07a6b6801c9d694c1271cfcf-lq
Hivi vyote wanafanya hawa NDUGU KATIKA IMANI??
 
Sawa nipo kujifunza

KIlichoshushwa kilikuwa kwa Lugha ipi au maandishi yapi?
Jibril alimshukia mtume Mohammad Saw kwa ithini ya Allah na kumpa maneno ya Qur'an kwa nyakati na masiku tofauti tofauti then baadae sana maswahaba wa mtume wakaanza kuandika Qur'an kweny mawe,ngozi,magome ya miti etc kwa lugha ya kiarabu etc ili kuihifathi Qur'an.

Mpaka sasa watu wanaandika kwa lugha yoyote hata kimasai ukipenda wanaita msahafu sasahv
 
Ushahidi ni jibril? Anamtokeaje mwenyewe? Yani eti kamtu kamoja tu yani kawadanganye umma wote? Mtu alieoa mtoto wa miaka 6? Pedophile? Muongomuongo, really? Kasome the satanic verses of Islam by Salman Rushdie utaelewa mmeliwa. Mnajiamini ila ndio mmepotoka kuliko. Mwenzio kaozea Medina anamsuburi Yesu Mungu aje kumfufua😂 mna kazi nyie wajuaji. Miaka zaidi ya 600 baada ya ukristo eti nyie ndio mnajikuta mnajua. Sisi hatuna mmiliki wa dini yetu, kitabu kina waandishi wengi na wote wanaendana, nyie mtu mmoja tu aongee na majini kama Dr Manyaunyau ndio kawakoroga
 
Mm nimezaliwa kwenye islam ila koran ni kitabu kilichoandikwa na watu wakawaida tu

Hakuna cha kushushwa wala nini
 
Siwez soma Wikipedia eti ndy niiamini.
Never
Huamini wikipedia iliyoandikwa na wasomi Ila unaamini kitabu kilichojaa mawazo ya muddy ambaye alikuwa hata hajui kusoma na kuandika, youre very smart brother 😂 😂 😂 akiamka anawaza aongeze nn, kuna siku aliamka akaona wafuasi wake wanakuja sana kwake na wanakaa muda mrefu, cha kushangaza siku zijazo mafungu yakaongezwa eti Allah anasema mkienda kweny nyumbani mwa muhammad ukimaliza lengo lako fanya haraka uondoke mtume hapendi mnavokaa muda mrefu😂😂😂

Jamaa anaonekana alikuwa hapendi wageni😂
 
Shutuma sio uthibitisho.
 
Ushahidi ni jibril? Anamtokeaje mwenyewe? Yani eti kamtu kamoja tu yani kawadanganye umma wote?
Mtu alieoa mtoto wa miaka 6? Pedophile? Muongomuongo, really? Kasome the satanic verses of Islam by Salman Rushdie utaelewa mmeliwa. Mnajiamini ila ndio mmepotoka kuliko. Mwenzio kaozea Medina anamsuburi Yesu Mungu aje kumfufua😂 mna kazi nyie wajuaji. Miaka zaidi ya 600 baada ya ukristo eti nyie ndio mnajikuta mnajua. Sisi hatuna mmiliki wa dini yetu, kitabu kina waandishi wengi na wote wanaendana, nyie mtu mmoja tu aongee na majini kama Dr Manyaunyau ndio kawakoroga
Mbn unajichanganya mkuu unatetea nini Urastafari au ukristo?

Hizo aya zinazoitwa za shetani nilishazisoma wapumbavu walio na hoja kinzani ndy wataelewa kama ni satanic verses.
 
Huamini wikipedia iliyoandikwa na wasomi Ila unaamini kitabu kilichojaa mawazo ya muddy ambaye alikuwa hata hajui kusoma na kuandika, youre very smart brother 😂 😂 😂 akiamka anawaza aongeze nn, kuna siku aliamka akaona wafuasi wake wanakuja sana kwake na wanakaa muda mrefu, cha kushangaza siku zijazo mafungu yakaongezwa eti Allah anasema mkienda kweny nyumbani mwa muhammad ukimaliza lengo lako fanya haraka uondoke mtume hapendi mnavokaa muda mrefu😂😂😂

Jamaa anaonekana alikuwa hapendi wageni😂
Mfano ww watu waje kupiga story kutwa zima kwako bila kwenda kutafuta riziki unaona sawa?
 
Back
Top Bottom