Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hawatambuliki wakati wanazungushwa nchi nzima wakiwa wanatoa mawaidha na kuhubiri Dini.Hao Masharifu hawatambuliki katika Uislamu, bali watu wanawatumia hao watoto katika kuwatapeli watu. Achana na hizo habari, jikite kwanza kwenye mada ya msingi.
Vitoto vidogo vinajua Qurani yote kichwani bila kwenda shule.
Vinajua lugha zote za duniani.
Kwakuwa vina pagawa na majini toka vikiwa vitoto vichanga.
Vifuatilie vyote vikiwa vikubwa vinaishia kuwa vipiga ramli na urozi. Kama Padri Walaga Bin Naufal.
Na kujiita Sharifu Majini, wapo nenda kaongee nao.
Mimi nilitegemea kwa uelewa ule vitaishia kuwa Wanasayansi wakubwa au walimu wa vyuo vikuu.
Lakini wapi vyote vinaishia kuwa vichawi.
Majini kamwe hayana usaidizi kwa Binadamu.