Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

Mfano ww watu waje kupiga story kutwa zima kwako bila kwenda kutafuta riziki unaona sawa?
Sio sawa, ila kwann mambo anayotaka kuwaambia watu wake anayaingiza kweny quran alaf anamsingizia allah, anasema yametoka kwa Allah wakati ni yeye mwenyew 😂 😂 😂
 
Sio sawa, ila kwann mambo anayotaka kuwaambia watu wake anayaingiza kweny quran alaf anamsingizia allah, anasema yametoka kwa Allah wakati ni yeye mwenyew 😂 😂 😂
Mtume kila atakacho waasa watu kilikuwa ni wahayi kutoka kwa Allah kupitia kwa Malaika Jibril.

Kama wewe hutaki kukubali endelea kutokukubali.
 
Mtume kila atakacho waasa watu kilikuwa ni wahayi kutoka kwa Allah kupitia kwa Malaika Jibril.

Kama wewe hutaki kukubali endelea kutokukubali.
Hata ile sheria iliyokuja wakati muafaka kabisa alipotaka kumuoa mkwe wake zaynab(mke wa mtoto wa kufikia zayd)

Nakumbuka aliona aibu na watu walimsema sana kuhusu kitendo alichofanya cha kumuoa mkwe wake kwasababu kwa tamaduni za Arabia kipindi hicho walikuwa wanaamini mtoto wa kufikia ni mtoto wako na kuoa mke wa mtoto wako ni jambo ambalo halina picha nzuri mbele za watu.

Kwa kuona hilo mara ghafla kuna sheria zikaongezwa kweny quran kwamba mtoto wa kufikia sio mtoto wako na usimpe majina yako, hii sheria ilimsaidia sana Muhammad, ilimpa ahueni, akamuoa zaynab bila aibu yeyote kwasababu alijitungia sheria itakayo msaidia kumuoa zaynab na inayopingana na tamaduni za kiarabu za muda mrefu kuhusu adoption.

Hizo sheria nazo zilitoka kwa Allah sio??
Ndo maana aysha mke wake baada ya kusikia hizo sheria akacheka akamwambia Muhammad "kweli Allah hufanya haraka kukupa unachotaka" nikwasababu alijua sio Allah bali ni sheria za Muhammad alizotunga apate kumuoa zaynab aliyemtamani baada ya kuuona uchi wake.
 
Jibril alimshukia mtume Mohammad Saw kwa ithini ya Allah na kumpa maneno ya Qur'an kwa nyakati na masiku tofauti tofauti then baadae sana maswahaba wa mtume wakaanza kuandika Qur'an kweny mawe,ngozi,magome ya miti etc kwa lugha ya kiarabu etc ili kuihifathi Qur'an.

Mpaka sasa watu wanaandika kwa lugha yoyote hata kimasai ukipenda wanaita msahafu sasahv
Asante

Na inakuwaje msahafu kujengwa kutokana na vitabu vya Biblia(Injili, Sheria, Zaburi) ikiwa vitabu hivi viliandikwa na watu tu? Huku unaniambia Muhammad alishukiwa kwa nyakati tofauti?
 
Huu Uzi bila
DR Mambo Jambo ni batili na yule mwingine nimemsahau jina mje mtusaidie tujifunze
Sijajua Msimamo wa Rasta 😅😅

Huyo jamaa huwa napitia Clip zake ticktock..
yeye huwa anaamini mizimu ila dini Haamini..,
Ni bora Atheist kuliko anaemini mizimu na bado anamcheka anaeamini Mungu..

Cuz wote wapp chini ya Imani (Be-Lie-Ve) na Faith ila wote hawana Facts..
Ulimwambia Athibitishe mizimu Atashindwa pia..

😅😅😅
 
Nawew unaamini kweli ilishushwa? 😂😂😂
Asante

Na inakuwaje msahafu kujengwa kutokana na vitabu vya Biblia(Injili, Sheria, Zaburi) ikiwa vitabu hivi viliandikwa na watu tu? Huku unaniambia Muhammad alishukiwa kwa nyakati tofauti?
Swali lako halieleweki.

Qur'an inajitosheleza inajieleza kama hapo zamani kulikuwa na vitabu kama Zaburi,tourat na injili.

Sio eti Qur'an ilijengwa kwa zaburi,tourat na injili.
 
Tatizo ni pale unaamini uwepo wake halafu unalazimisha watu wengine waamini kama wewe, unawachinja wakihoji....
Amini matambiko yako, yafanye bila kulazimisha watu, kama vipi wahubirie kwa amani wachague wenyewe....dini moja imekua kero duniani kote hakukalilki. brazaj

main-qimg-7bfd56da07a6b6801c9d694c1271cfcf-lq

Si tulikubaliana msituhusishe kwenye itikiadi zenu uchwara za kidini?
 
Back
Top Bottom