Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

Hao Masharifu hawatambuliki katika Uislamu, bali watu wanawatumia hao watoto katika kuwatapeli watu. Achana na hizo habari, jikite kwanza kwenye mada ya msingi.
Hawatambuliki wakati wanazungushwa nchi nzima wakiwa wanatoa mawaidha na kuhubiri Dini.
Vitoto vidogo vinajua Qurani yote kichwani bila kwenda shule.
Vinajua lugha zote za duniani.
Kwakuwa vina pagawa na majini toka vikiwa vitoto vichanga.
Vifuatilie vyote vikiwa vikubwa vinaishia kuwa vipiga ramli na urozi. Kama Padri Walaga Bin Naufal.
Na kujiita Sharifu Majini, wapo nenda kaongee nao.
Mimi nilitegemea kwa uelewa ule vitaishia kuwa Wanasayansi wakubwa au walimu wa vyuo vikuu.
Lakini wapi vyote vinaishia kuwa vichawi.
Majini kamwe hayana usaidizi kwa Binadamu.
 
Ni wapumbafu pekee wanaochukulia hizi dini kwa userious,hizi ni lroject za wajinga aliokosa majibu ili kujipa matumaini na kupata wafuasi..dini ni silaha ya kumtawala mwanadamu
Yan dini isingekuwepo wala huo ustaarabu unaowona udingekuwepo watu wangekuwa wanaish kama wanyama mungu fundi kalera wajumbe watupe amri za mungu kupitia imani nayo ndo dini kwahyo wewe unaamini wazungu na wanasayans bas amini
 
Huyo Mwamba hua namfuatilia sana hua analeta hoja ambazo wafia dini hawawezi mjibu zaidi ya kumtukana tu,
Jamaa anazingua kweli kweli na ni Mzanzibar huyo,
Hua napenda anaposema

'Na huo uongo wenu huo jamaniiiii!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anatumia jina gani Tiktok
 
Kwhy unataka nimuamini huyo rasta?
Rasta katoa facts zake. Wewe kama unakataa toa facts. Mimi binafsi nimemuelewa kuhusu msahafu, sio neno la Mungu na haukushushwa na Mungu na ushahidi haupo.
 
Hakuna kitabu kinaitwa injil. Na waarabu akiwemo mtume wenu kipindi kile angejua maana ya injili Wala asingehangaika kuwadanganya. Injili ni vitabu vinne. No ukweli mchungu sana dini yenu ipo based on lies and fallacies. Ni political agenda ya kiarabu tu. Haina ukweli wowote. Alafu kutwa kujifanya wanaujua ukristo ambao huyo jamaa kaja kawakuta wakristo miaka 600 baadae alafu anajikuta mjuaji. Huwa tunachekea tumboni maana tunajua mmechanganyikiwa. Alafu ukiwakuta wanavyojihakikishia pepo sasa. Au ukute wanamzungumzia Mwenyezi Mungu, kumbe wamepigwa.
 
Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.

Anataka ushahidi gani?
Yani unaaamini hearsay "sababu inajisemea" weak argument. Kila mtu anaweza kusema. Ata mitume na manabii feki wanasema wao wametumwa na Mungu au wamesikia sauti. Yani hivyo tu tukuamini?! Upo serious kabisa?
 
Mam
Kwa sababu hakuna ushahidi unaonyesha kua ilishushwa
Ndugu mambo yapo mengi tu duniani yanayoamiwa na watu bila ya ushahidi wa kutosha...usionee Quraan tu, hata uwepo wa mungu tu hauna ushahidi wa kutosha lakin still unaamini yupo..
 
Qur'an inajisema yenyewe ilishushwa.

Anataka ushahidi gani?
Kwa hiyo sir God aliandika kiarabu?

Kwa nini asingeandika kwa ukuu wake ili yeyote yule atakaeisoma aielewe bila kujifunza kiarabu kwanza!?
 
Una
Una hoja usikilizwe, tiririka zaidi
 
Ni wapumbafu pekee wanaochukulia hizi dini kwa userious,hizi ni lroject za wajinga aliokosa majibu ili kujipa matumaini na kupata wafuasi..dini ni silaha ya kumtawala mwanadamu
Ndo raha ya kushiba ugali harage. Unaropoka tu
 
Wewe unaweza kuthibitisha kama Qur'an ilitugwa?
Unamjua Abd Allah ibn Sa'd?? Ex-muslim wa kwanza.

Alikuwa mwandishi mkuu wa Muhammad. Baada ya kuona makosa ya kiuandishi kweny Quran, na Muhammad kufanya mabadiliko ya mara kwa mara. Alitoroka kutoka Medina kwenda Makka akaacha uislamu akamkimbia muhammad.
Alibainisha kuwa Quran ni uzushi na sio kutoka kwa mungu. Muhammad aliamuru auliwe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Soma historia yake vizur utajifunza mengi usikaririshwe tuu na waarabu, Abd Allah ibn Sa'd is a real historical figure Sijamtunga
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Abd_Allah_ibn_Sa'd
 
Mam

Ndugu mambo yapo mengi tu duniani yanayoamiwa na watu bila ya ushahidi wa kutosha...usionee Quraan tu, hata uwepo wa mungu tu hauna ushahidi wa kutosha lakin still unaamini yupo..

Tatizo ni pale unaamini uwepo wake halafu unalazimisha watu wengine waamini kama wewe, unawachinja wakihoji....
Amini matambiko yako, yafanye bila kulazimisha watu, kama vipi wahubirie kwa amani wachague wenyewe....dini moja imekua kero duniani kote hakukalilki. brazaj

 
Rasta katoa facts zake. Wewe kama unakataa toa facts. Mimi binafsi nimemuelewa kuhusu msahafu, sio neno la Mungu na haukushushwa na Mungu na ushahidi haupo.
Jifunze kwanza kuandika.
 
Kwa hiyo sir God aliandika kiarabu?

Kwa nini asingeandika kwa ukuu wake ili yeyote yule atakaeisoma aielewe bila kujifunza kiarabu kwanza!?
Jifunze kwanza kutofautisha kati ya Qur'an na lugha iliyotumika kuandika Qur'an.

Halafu njoo sasa tujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…