Hili nalo neno😃 ila mwanamke anaesingizia mtoto kapuku nae hamnazoTena makapuku ndio wanaongoza kusingiziwa mimba maana mwanamke anazaa na mtu mwenye hela/anayempenda na kumtunza then mimba anabebeshwa kapuku anayejifanya kuijua ndoa, tajiri ni mara chache kusingiziwa mimba maana hawazalishi hovyo, pia wanajali mambo ya DNA alafu hawazai na maboya.
Masikin akipata tu kimwanamke chochote anawaza ndoa wakati hana pesa za matunzo, kwanini usibambikiziwe?
Utaleaje bao la mwanaume mwezio kwahilo nakataaUsipolegeza ubongo utakua pupu kwenye ndoo miaka 30 bwashee
Matraco yako mtoto wangu unamjua wewe? Ni copy kuanzia kichwa, mwili, hadi kuwaza pumba.Hahahahahaaaaa wewe mwenyewe unamlea mtoto wa Mwajuma ndala ndefu ukidhani ni wa kwako.
Unafanya tu kama mtoto yatima bwasheeUtaleaje bao la mwanaume mwezio kwahilo nakataa
this is a bullshit
sasa hio itakuja ni akili gani??Unafanya tu kama mtoto yatima bwashee
Ukigundua utafanyaje? Na mtoto amejenga bond na wewe na kuficha aibu ya kuchapiwa na kuokoa ndoa yako ibaki salama?sasa hio itakuja ni akili gani??
Changamoto zipo nyingi na hatuwezi kuziongelea zote kwenye thread moja. Kwaiyo mada inayohusu paternity fraud tujadili kuhusu paternity fraud. Ikija mada inayohusu maternity disputes tutajadili kuhusu maternity disputes. Tukitaka kuchanganya vyote kwa pamoja tutakuja na ile conclusion ya kutumia kosa kuhalalisha kosa jinginehili ni suala mtambuka mkuu, na wanaume wangefanya maternity fraud kama ingekuwa inawezekana
haya ndo yale mambo yanayoumiza sana ila hayawezi kukoma
😄😄 hizi mada hauwezi kosaChangamoto zipo nyingi na hatuwezi kuziongelea zote kwenye thread moja. Kwaiyo mada inayohusu paternity fraud tujadili kuhusu paternity fraud. Ikija mada inayohusu maternity disputes tutajadili kuhusu maternity disputes. Tukitaka kuchanganya vyote kwa pamoja tutakuja na ile conclusion ya kutumia kosa kuhalalisha kosa jingine
As a man...mtoto anatakiwa kuonyesha baba yake mzazi haraka iwezekanavyo na mke ambae sasa ni hoe anatikiwa kwenda kwa mumewe haraka.Ukigundua utafanyaje? Na mtoto amejenga bond na wewe na kuficha aibu ya kuchapiwa na kuokoa ndoa yako ibaki salama?
Utafanya vipi maamuzi ya hekima bila kumwathiri mtoto na wewe pia
Sijahalalisha chochote nimekuonesha tu kwamba hili jambo ni paradox—halina ukweli, halina uongo, na halina suluhu.Changamoto zipo nyingi na hatuwezi kuziongelea zote kwenye thread moja. Kwaiyo mada inayohusu paternity fraud tujadili kuhusu paternity fraud. Ikija mada inayohusu maternity disputes tutajadili kuhusu maternity disputes. Tukitaka kuchanganya vyote kwa pamoja tutakuja na ile conclusion ya kutumia kosa kuhalalisha kosa jingine
Utaanza upya kila siku bwasheeAs a man...mtoto anatakiwa kuonyesha baba yake haraka iwezekanavyo na mke ambae sasa ni hoe anatikiwa kwenda kwa mumewe haraka.
kuanza upya sio ujinga right?
Wazee wazamani walikua na hekima kuhusu hili jambo japo walikua na mifumo dume ya hatari sanaSijahalalisha chochote nimekuonesha tu kwamba hili jambo ni paradox—halina ukweli, halina uongo, na halina suluhu.
Ofcourse mpaka pale utakapo kutana na mwanamke sahihi..Utaanza upya kila siku bwashee
Na wanawake siku hizi ni wajanja sana unachapiwa na mwamba anafanana na wewe kabisa😅Ofcourse mpaka pale utakapo kutana na mwanamke sahihi..
ILIANZQ ADAM NA HAWANimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha.
Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo.
Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
too bad for the gameNa wanawake siku hizi ni wajanja sana unachapiwa na mwamba anafanana na wewe kabisa😅
Suluhu ya paternity fraud ipo, ambayo ni DNA test. DNA ikiwa mandatory mtoto anapozaliwa tu tatizo litaishaSijahalalisha chochote nimekuonesha tu kwamba hili jambo ni paradox—halina ukweli, halina uongo, na halina suluhu.