Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kwamba kauli uitoe wewe halafu nikapate ufafanuzi kwa wazee wangu, kwanini usitufafanulie wewe ambae umeleta hiyo kauli hapa jukwaani. Unataka kuhalalisha paternity fraud?Tushayaona mkuu. Hata wazee wako nina imani wanaelewa hii, ukiwauliza watakufafanulia.
Hayo mambo huwa kila mtu ana maamuzi yake bwasheeKwamba kauli uitoe wewe halafu nikapate ufafanuzi kwa wazee wangu, kwanini usitufafanulie wewe ambae umeleta hiyo kauli hapa jukwaani. Unataka kuhalalisha paternity fraud?
Ufafanuzi niliupata kutoka kwa mzee wangu kuhusu haya masuala aliniambia, endapo nikazaa mtoto nje ya ndoa nisimtelekeze niakikishe anawajua ndugu zake, na endapo mke akinicheat(not to mention kunibambikia mtoto) nimtimue hapo hapo bila mjadala wala kusikiliza ushauri wa mtu yoyote.
Usifikiri kila nyumba zinajengwa tu kwa matofali ya kawaida ya block, kuna muda tunaamua kuyachoma ili yaimarike zaidi.matatizo gani hayo?
kama sio umalaya wao tu.
Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless
Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah
Sikatai maamuzi ya mtu ndio maana nikaomba ufafanuzi. Mama/dada akanijibu niongee na wazee. Moja ya wazee walionipa miongozo ni mshua ambapo nikiunganisha nukta sioni msingi wa alichoniambia kama kinalingana na anachosema mama/dada angu uko juu. Ndio maana nikaomba ufafanuzi, bahati mbaya naona anazunguka mbuyuHayo mambo huwa kila mtu ana maamuzi yake bwashee
Unanifurahisha sana mkuu.Kwamba kauli uitoe wewe halafu nikapate ufafanuzi kwa wazee wangu, kwanini usitufafanulie wewe ambae umeleta hiyo kauli hapa jukwaani. Unataka kuhalalisha paternity fraud?
Ufafanuzi niliupata kutoka kwa mzee wangu kuhusu haya masuala aliniambia, endapo nikazaa mtoto nje ya ndoa nisimtelekeze niakikishe anawajua ndugu zake, na endapo mke akinicheat(not to mention kunibambikia mtoto) nimtimue hapo hapo bila mjadala wala kusikiliza ushauri wa mtu yoyote.
Upendo ni illusion tu ambayo inaweza kubadilika kutokana na mabadiliko ya kisaikolojia, tabia n.k ndio maana kuna watu walioendana baadae wakaishia kuwa maadui.Hii partenity fraud nafikiri mara nyingi inatokana na wadada kuolewa na wanaume wasiowapenda, mdada anamaliza secondary au chuo, katoka familia maskini au ya kawaida, kitaa maisha magumu ajira hana, mtaji hana, anatongozwa na mwanaume ambae sio mchoyo kwenye kuhudumia, kidume kidogo kajipata kibiashara, au kapata kazi za ajira portal, paap mwanaume kajichanganya katangaza ndoa, kumbe bidada ana mwanaume ambae kimuonekano ni type yake, ila huyo mwanaume ni poor & jobless
Hapo ulieoa, umeshikishwa mtoto, hujashikishwa mtoto😁, kwenye mazingira hayo risk ya partenity fraud ni kubwaa Natafuta Ajira Miss Natafuta binti kiziwi financial services Hulda-Tamarri Joanah Joannah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo naijua sana mama mtoto wangu nilishawahi mlalamikia kuwa huyu mtoto vipi , akaniambia nina pesa gani ya mpaka yeye anisingizie mtoto? Nikavunga nikamchukua mtoto mpaka leo hii nipo nae na nimepata soma😅
Cheka tyu ukute ndio wewe😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa mkuu. Next time ukileta hoja yako jf uwe tayari kuitolea ufafanuzi.Unanifurahisha sana mkuu.
Anyways...sawa. huo ufafanuzi uliopewa nadhani unakufaa sana.
Sio lazima lakini mkuuSawa mkuu. Next time ukileta hoja yako jf uwe tayari kuitolea ufafanuzi.
Hii dhambii usipende sana mkuu else umeamua kujilipuaMwenyewe ninaweza kuwa na mwanangu kwenye ndoa ya mtu!!
Then ukiombwa ufafanuzi sema tu hautaki au hauwezi. Hakuna haja ya kuzunguka mbuyu kama unavyofanyaSio lazima lakini mkuu
Bongo DNA zinachakachuliwa. Wanasema wanalinda masilahi ya mtoto. Kwaiyo kama uwezo unaruhusu nenda kapime Nairobi.