Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hiii imeenda
 
Wengi mnaongea tu hapa kufurahisha genGe ila mkiwa wenyewe huko hela zinawatoka mnachanga sana tu mnakuja kutolea machungu huku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hela inauma eti, hasa uliyo itolea jasho kuipata
 
Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.

Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe kiboko😃😃😃😃
 
Sasa kwann mnatuunga kwenye magroup kwa lazima....bila ridhaa yetu
 
Masuala ya michango naona yafanyike kwa ndugu tuh masuala ya kuunga magroup ya marafiki mtu umejuana nae mwezi tuh [emoji23]
Tayar kakueka kwenye group la michango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…