Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

Nashkuru Mungu
Huu ujinga wa michango ya hovyo ilishakataliwa kwny ukoo wetu tangu nakua Hadi hivi sasa

Harusi ya mwanafamilia yeyote itagharamiwa full na Wana ukoo wote kwa kushangishana sisi kwa sisi, sio Watu wa nje.

Labda wale wa hiari yao

Na ndio inavotakiwa mkuu masuala ya kuchangisha kila mtu ni jau tupu na ni aibu heri wanandugu mnajuana na saiv unakuta Kuna account za familia
 
Mkuu hi Nita itumia aisee🤣😂
 
Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.

Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Hahaqaa, nitaifanya hii mbinu.
 
Hivi Millard ni kweli alioa, mbna ilisemekana ni tangazo lile? Duuh bas hongera zake.
Sema Milard saa nyingine anaboa. Yale maisha anayoishi ni ya kipumbavu sana. Kina Zuckerberg na mabilioni yao ya USD hawajibani kama yule jamaa. Wanasema kila mtu na furaha yake ila hela zinahitajigi kelele kidogo sometimes... mimi kwangu Millard sio mfano wa kuigwa kwenye hizi ishu za mapenzi na mahusiano.
 
Anajibana vipi, toa mfano..,
 

Kwa nini unasema wewe kwako Millard sio mfano wa kuigwa kwenye hizi ishu za mapenzi na mahusiano ?

Alipaswa afanyeje kwenye hayo mambo
 
Muarusha/k’njaro na mapenzi wapi na wapi..huko nihela pombe na nyama
 


Ajakulazimisha umchangie, heshimu maamuzi na maisha yake!!!??
 
Unanibishia mimi? Unanijua mimi ni nani?

Nakubishia ama nakuuliza swali

Soma tena kwa umakini

Kwa nini unasema wewe kwako Millard sio mfano wa kuigwa kwenye hizi ishu za mapenzi na mahusiano ?

Alipaswa afanyeje kwenye hayo mambo
 
Wanawake wanaowachagua, wazazi, mawifi, mashemeji. Hawa huongeza tatizo. Utakuta kijana anaambiwa we kaa tulia subiri, sasa ikikaribia harusi halafu kuna gap stress zinaanza ndo unakuta mtu anakopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…