Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

Israel hawawezi kumpiga Ukraine hata dak 1 ni ndugu wale
 
Israel wakati wowote wako tayari kwa vita
Ktk maisha yako yote ushawahi kuona Israel anafanya military parade sjui anawaonesha makomando,wakipasua mawe baba magogo na kuonesha silaha

Ova
 
Mkuu, nadhani ulitaka kitufahamisha kuwa "Israel haleti utulivu hapo MASHARIKI YA KATI" na sio "MASHARIKI YA MBALI"
 
Nilijua watakuwepo watu kama wewe, ambao hawajui, sio watu wa kutafuta maarifa na watabisha. Hatimaye umejitokezq
Haya elezea hao wayahudi walioleta maendeleo China.

Unaifahamu historia ya China kwa udogo tu ?
 
China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
Ujinga mtupu
 
"Irani ana vinu vya nyuklia. Israel ameshategesha makombola yake kuelekea Vinu hivyo. Taarifa za Russia zinawaambia Irani kuwa the day wanajaribu kurusha ndo the day Irani yenyewe inashambuliwa na Nyuklia."

Nimeishia kusoma tu hapa kwanza kuandika hujui unachangana R na L kingine unaandika uwongo uwongo tu, Israel ana makombora gani aliyoyaelekeza Iran?Nchi iliyowahi kuelekeza makombora ni Cuba tu wacha kupotosha watu
 
Haya elezea hao wayahudi walioleta maendeleo China.

Unaifahamu historia ya China kwa udogo tu ?
Huwezi kutaja mafanikio ya China bila kutaja Chama Cha Kikomunisti cha China (CCP) , na mmoja ya chief architect waliofanikisha kuundwa kwa chama hiko ni myahudi Gregori Voitinski.

Mikhail Borodin, alikuwa mshauri wa mwanafalsafa na kiongozi wa kwanza wa Jamhuri ya China,Sun Yat-sen
 
China mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita

Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
Kaa kimya dogo , huujui mziki wa China kwenye vita ,kaangalie walimfanyia nini mmarekani kwenye Korean war .
Au unafikiri ile north and south Korea ilitokea miracles Tu kuwa vile .
Fuatilia pia usome historia yao kwenye vita ya Vietnam , vietcongs silaha na trainers walikuwa ni wachina na walifanya hivyo kumnyoosha mmarekani na walifanikiwa .

Unapoongelea China usidhani unaongelea least developed country ,China ni military power kubwa na wako well equipped kwemye espionage kuliko unavyoweza kudhani , kama unafuatilia mambo ,fuatilia espianage activities na spying za mchina kule Marekani na kwingineko , wamedukua mpaka public infrastructure za Marekani na washirika wake ,na inaaminika hata na wamarekani wenyewe kwamba miundombinu ya nchi yao iko vulnerable kwa mchina .
Hadi kampuni kubwa zimedukuliwa na hao watu , wana mamilioni ya wanafunzi wameingia kule kufanya spying miaka mingi ,kiufupi wanajua inside out ,si wajinga wale
 
Ujinga Sun Yat sen hakuwahi kuwa muanzilishi wala muasisi wa ukomunisti China Li dazhao huyu ndie unayeweza mtaja na wenzake wakina Mao hivi unajua hata ukomunisti umeingia lini China ?

Jamhuri ya China failed Republic iliyo pelekea mpaka civil war ndio maendeleo ?

Chama cha kikomunisti cha China kiliundwa na vijana wa kichina waliovutiwa na itikadi ya ukomunisti hakuna cha architect wala upuuzi gani

Nimekuuliza Unaifahamu historia ya China hata kidogo ila unaandika ujinga

Naweza kukutajia wanachama wote wa mwanzo walio hudhuria kikao kikuu cha mwanzo kilicho idhinisha kuanzishwa kwa chama cha kikomunisti cha China na humo hakuna myahudi hata mmoja

Kuizungumzia China kimaendeleo bila kujali utajiri wa historia yake inayobeba maendeleo yote ya China ni ujinga.

Unazungumzia vipi maendeleo ya China bila kuzungumzia successful dynasties unakuja kuzungumzia failed Republic?

Acha kuhusudu wayahudi mpaka kupitiliza unaandika ujinga.
 
Umeelewa nilichoandika? Soma tena
 
Hakuna sehemu nimesema ni muanzishili wa ukomunist bali chama cha ukomunist china.

Kutokea Jamhuri ya China ndio ikaja Jamhuri ya watu wa China. Huwezi kufuta historia. Hata kaka ilikuwepo kwa muda mfupi

Nikija kwa point yako, Mao kajifunza kwa wayahudi Karl Marx na Lenin.
 
Sawa, kwanza siku muanzishili wa ukomunist bali chama cha ukomunist.

Nikija kwa point yako, Mao kajifunza kwa wayahudi Karl Marx na Lenin.
Hivi hata Li dazhao unamfahamu kweli ? Na nafasi yake CPC ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…