Mrusi ana akili sana anajua akiingia Trump vita Ukraine itaisha ila atawapelekea moto waislam pale mashariki ya kati kwa hio na yeye anaangalia manufaa yake,,,isitoshe pale Lebanon Israel anapigana na waislam wa Hezbollah ambao ni wapalestina waliopewa hifadhi enzi hizo Lebanon kipindi hiko Lebanon ni nchi ya kiarabu ila ni ya kikristo,,,,wapalestina kusaidiwa Lebanon wakaja kuzaliana na kutaka kuwapiku wenye nchi yao na kuanzisha Hezbollah..........kwahio kwa upande wa wagalatia ambae hata mrusi yupo humo Israel kushinda ipo kwenye manufaa yake,,,,,democrats na wakina Bidden ndo walifocus sana ukraine kuliko mashariki ya kati ndo maana hadi Netanyahu akamaind akaenda nae kufanya maongezi na mrusi,,,,Plan kwa sasa vita ya Ukraine iishe kupitia Republicans ambae ni Trump ndo maana wanahangaika sana kumuua Trump,,, akishaingia Trump hata Iran anaweza akachapwa huku mrusi anamuangalia tu maana yeye kazi yake Ukraine kamaliza kwa msaada wa haohao wayahudi