Hasara ya Iran kuishambulia Israel ni kubwa. Kukaa kwao kimya si kwamba hawana akili. Russia, Korea na China...

Kama hujui Iran haiwezi kupigana na Israel moja kwa moja maana wote wababe na wana marafiki wakubwa wote
Kuna mikataba ya kimataifa kama hujui
Kuna nchi haziwezi kupigana hata iweje
Unafikiri leo Putin analalamika NATO anaisaidia Ukraine lakini hawezi kutupa hata chupa nchi za Ulaya jiulize kwanini?
Nchi zinaangalia uchumi wa Dunia na sio nani ana nguvu kubwa na nani atasaidiwa na nani
Vita ya Iraq kuvamia Q8 tafuta historia yake utajua chanzo ni nini na kwanini nchi nyingi zilimsaidia Q8 kurudishiwa nchi haraka
Ni mikataba boss
Ufalme utabaki kwa mda mrefu ukilindwa na wazungu kwa mikataba na si vinginevyo
Middle Eastern countries wengi hawaingilii vita ya Israel kwa sababu sio hawana uwezo bali ni makubaliano
 
sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.

Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel

China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
Tafuteni maarifa🤔
 
Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Ashkenaz
 
Ashkenazi
 
Ubaya Ubwela !
Simba Vs Yanga 19/10/2024 !

Pacome Zuazua Vs Lionel Atteba
😳🤦🏽‍♂️
 
Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
mbinu anayotumia china mimi naikubali sana, kua kimya jiimarishe. sio bado hujawa fiti alafu unatoa toa matamko. Na jana wakati tunafatilia habari za lebanon niliona kuna 200% ongezeko la kodi fulani kwenye import za electric vehicles kutoka china. hizi ni njama za kumkwamisha mchina kupiga hela
 
sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.

Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel

China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
vp wayahudi wa kihindi mkuu?
 
Wamarekani wanahangaika TU ila mchina ni unstopable
 
  • Thanks
Reactions: Lax
China mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita

Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
Kimsingi ndio unavyotakiwa. Vita havina maana. Tunapaswa tuishi kwa amani hapa duniani ila allah akitaka damu anawapagawa wajukuu wake waue na wauane wao kwa wao duniani kote ili waende peponi kupewa mabikra 72 na wakaogelee kwenye mito ya pombe

Duniani tunapita, tuishi kwa furaha na amani ila lile pepo kwakuwa halipendi tuishi kwa amani ndio linaleta vita.

Niliwahi kusikia ushuhuda mmoja wa "mission of the queen of the coast against Church" na katika ushuhuda huo hilo Pepo "queen of the coast" linaeleza namna linavyoutumia "uislama na magaidi wa kiislam kumwaga damu za wanadamu bila sababu"

Inasikitisha sana.
 
sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.

Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel

China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
China imejengwa na wayahudi ?😀
 
Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Sisi si tuna jeshi huwa linavunja mawe kwa meno siku ya muungano, why lisiende kuwasaidia Iran?
 
Back
Top Bottom