Kwanini isitokee wakati unaona wenye maguvu wanatunishiana misuli?Vita ya dunia wala haitakaa itokee miaka ya hivi karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini isitokee wakati unaona wenye maguvu wanatunishiana misuli?Vita ya dunia wala haitakaa itokee miaka ya hivi karibuni.
Tafuteni maarifa🤔sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.
Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel
China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
AshkenazRussian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
AshkenaziRussian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Bongo tuna wachambuzi wa kila aina kuanzia michezo,vita ya urusi na ukreini vita ya hamas na israeli yahn mpaka raha.
mbinu anayotumia china mimi naikubali sana, kua kimya jiimarishe. sio bado hujawa fiti alafu unatoa toa matamko. Na jana wakati tunafatilia habari za lebanon niliona kuna 200% ongezeko la kodi fulani kwenye import za electric vehicles kutoka china. hizi ni njama za kumkwamisha mchina kupiga helaRussian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
vp wayahudi wa kihindi mkuu?sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.
Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel
China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
Vita ya tatu ya dunia itakuwa vita ya nyuklia. Hakuna mkubwa yeyote anayeweza kukubali itokee.Kwanini isitokee wakati unaona wenye maguvu wanatunishiana misuli?
Wamarekani wanahangaika TU ila mchina ni unstopablembinu anayotumia china mimi naikubali sana, kua kimya jiimarishe. sio bado hujawa fiti alafu unatoa toa matamko. Na jana wakati tunafatilia habari za lebanon niliona kuna 200% ongezeko la kodi fulani kwenye import za electric vehicles kutoka china. hizi ni njama za kumkwamisha mchina kupiga hela
Eeeh sasa wewe ndo mbongo halisi haya ndo mambo yetu hayaUbaya Ubwela !
Simba Vs Yanga 19/10/2024 !
Pacome Zuazua Vs Lionel Atteba
😳🤦🏽♂️
Kimsingi ndio unavyotakiwa. Vita havina maana. Tunapaswa tuishi kwa amani hapa duniani ila allah akitaka damu anawapagawa wajukuu wake waue na wauane wao kwa wao duniani kote ili waende peponi kupewa mabikra 72 na wakaogelee kwenye mito ya pombeChina mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita
Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
😀Kaifeng Jews
China imejengwa na wayahudi ?😀sahihisho, Iran anaweza kuwa na vinu vya Nyuklia lakini hana silaha ya Nyuklia na hatokuja kufanikiwa kutengeneza nyuklia.
Russia, imejengwa na wayahudi, haiwezi kui antagonise Israel
China, imejengwa na wayahudi. Najua hapa watu watashanga sana? Kwa sababu wanajua tu kuna wayahudi wenye asili ya Kizungu (caucasians) na Kiarabu. Tafuteni maarifa
Umeongea kweliChina mimi ni RAFIKI YANGU ni mjanja sana yule macho madogo hata umpidid hapigan, anajua gharama za vita
Na anaogopa sana kuwatumbikiza raia wake kwenye mateso ya vita
Sisi si tuna jeshi huwa linavunja mawe kwa meno siku ya muungano, why lisiende kuwasaidia Iran?Russian anajua kabisa kuwa US ( CIA ) wako vitani sambamba na ISRAEL...
anachosema US kuhusu ceasefire ni geresha tu kwa nje.
Israel angeweza kuamua kufanya mauaji hayo bila kupata baraka zote za US....
IRAN knows kwamba lengo la NETANYAU + US ni nini ...
Na huenda hata vita vya UKRAINE vinakuwa prolonged ili kumchosha RUSSIA, JEWS are US and US are Jews..
CHINA ndo rafiki mnafiki kabisa kumfanya kuwa allies...
Iran amekuwa open ku msupport RUSSIA but not CHINESE...
CHINA has nothing to loose . Anajua kabisa hawezi kushambuliwa, that's why hata asipo kussuport ( mirritarily) no RISK kwake...
Upo sahihi kabisa yeye ana deal na Africa ya wajinga kuuza bidhaa fake na kuiba madiniChina hana mpango na vita,