Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Muone...kuwaza ngono tuuu. Kengeee weee🀣🀣🀣🀣
Mambo vipi mshangazi...wikend inakula bata wapi?
Mi nakuombea nafasi ukashiriki pambano tubebe kombe 😹😹😹

Najua hiyo 3some lazima ukawafunge huko 🀣
 
Kuacha kitu inategemea na mtu siwezi kumtaja mtu ambaye amenisaidia yule dada mungu ambariki. Kuna utofauti Kati ya miezi 7 iliopita na nilipo sasa hivi huu
Yaan mdada amekusaidiaje kuacha? Sio wee mwenyewe dhamira yako ndo iliamua uache? Ko kumbe wee hujataka kuacha, ila kunae mtu ndo kakushauri na kukusaidia uache?

Hayaa bhana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi nakuombea nafasi ukashiriki pambano tubebe kombe 😹😹😹

Najua hiyo 3some lazima ukawafunge huko 🀣
Mweee acha mambo yako 3some pumzi naitoa wapi mie...nimejichokea
 
Yaan mdada amekusaidiaje kuacha? Sio wee mwenyewe dhamira yako ndo iliamua uache? Ko kumbe wee hujataka kuacha, ila kunae mtu ndo kakushauri na kukusaidia uache?

Hayaa bhana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inawezekana, kama jamaa alipewa vumbi na kitu ipo kwa ajili ya kuitumia asubuhi, mchana na usiku wakiwa zao vacation huko.

Yale mautamu unaamua kuachana na mambo ya ushoga 😁😁😁
 
Wakala wa Shetani huyu
 
Inawezekana, kama jamaa alipewa vumbi na kitu ipo kwa ajili ya kuitumia asubuhi, mchana na usiku wakiwa zao vacation huko.

Yale mautamu unaamua kuachana na mambo ya ushoga 😁😁😁
Ila Waja huwa sijui mnawaza nn? Hizo fikra za kusema shoga hawezi kutomber, au ku relate na mwanamke mnazitoa wapi?

Shoga (msenge) anaweza kuwa na mwanamke, anaweza kuzalisha, na kuwa baba wa familia kabisa, ikiwa sio khanithi na hana matatizo ya uzazi. Ni maamuzi tyuuh.

Sijui niseme nn, ila ushoga hauachwi kwa kufuata matakwa ya mtu, muhusika mwenyewe aamue kutoka ndani ya nafsi yake na dhamira ikubali hivyo inawezekana.

Afu kumbe eti ni miezi 7 ndo hajakutana na mwanaume, anasema kaacha, etii eeh, ngoja niweke .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu atakuwa katumwa na CCM kutoa ajenda za TEC na kitima
Na mimi nimeshangaa watu 50 wame respond to this uchafu wa mada ya shoga kaacha kufanywa.

Topic za Simba na Yanga na Udini na mke wa Haji Manara na Mwijaku na Bisexual moja linaenda mbele na nyuma zinatutoa kwenye mambo ya maisha yetu ? Daaaah!
 
Punguza ziara za mitandaoni huku kuna mengi, shida ya relapse ni kubwa kwenye haya mambo.
 
Oya Ebu nichek pm nikuelekeze machimbo ya malaya uwe unaenda kupasha angalau kwa wiki ule mbususu nne😝minimum
 
Wewe ni kijna kutoka kabla gani nisadie hilo maan kunakautafiti nafanya kuhusu swala hilo ni makabila gani haswa inapenda michezo hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…