Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Nimekusoma ,Nimekuelewa mkuu....Ila Nlicholenga ni kwamba tabia ya Mtu inategemea makuzi anaweza kuwa msomi kama nandy akakusumbua au sio msomi kama Aunty Ezekiel Moto ule ule
Sawa πππKaka njoo US utengeneze pesa kwa hyo kazi ya kutisha.
Em mwambie awataje basi tunataka kutoka..!!Hahahπππ₯²,. Aibu hizi loh!
Wote tunawachamba ,. Tutamchamba na yeye na anayechat nae huko pm wote waache kuwa na macho pepesu pepesuπ
Amtaje jinaHahahπππ₯²,. Aibu hizi loh!
Wote tunawachamba ,. Tutamchamba na yeye na anayechat nae huko pm wote waache kuwa na macho pepesu pepesuπ
Ni yatapita pole sana mkuuDiamond: yatakwisha
Madame tupewe bia huku backbenchersEm mwambie awataje basi tunataka kutoka..!!
Na km shem wako atafute pa kujificha venye ntamchamba πΉπΉπΉ
Ongeza na looking for loveI'm single again
Wawape kwa bill yangu, najua akitajwa shem wako backbencherβs mtanisaidia kumchamba..!! πΉπΉπΉMadame tupewe bia huku backbenchers
π π€£ π kwanza huyo shem na binti wake mbona watabadili majina,. Hawataipata amani humu mimi nikiwepo..Em mwambie awataje basi tunataka kutoka..!!
Na km shem wako atafute pa kujificha venye ntamchamba πΉπΉπΉ
YatapitaUngependa tukusindikize na wimbo gani mkuu!?
Watunza risiti πΉπΉπΉπ π€£ π kwanza huyo shem na binti wake mbona watabadili majina,. Hawataipata amani humu mimi nikiwepo..
Ila haka kamleta mada ni kaongo , hata mwaka haujaisha alituambia ameachana na mke wake alimfanyia sijui nini nini
Thread 'Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije' Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije
Kumbe ni chai πππ π€£ π kwanza huyo shem na binti wake mbona watabadili majina,. Hawataipata amani humu mimi nikiwepo..
Ila haka kamleta mada ni kaongo , hata mwaka haujaisha alituambia ameachana na mke wake alimfanyia sijui nini nini
Thread 'Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije' Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije
Hahahπ π π ,. Nimeona uzi upo huku chini kwenye similar discussions nafungua namkuta yeyeWatunza risiti πΉπΉπΉ
Huyu kaamua kuchangamsha kijiwe, hakuna mke wala mume..!! Mke JF π€£π€£
Waja wa humu utawaweza sasaπKumbe ni chai ππ
Hizo ni past mkuu, wakati huu siwezi kufanya hiko kitu, AsanteUmewapa wangapi ambao sio wapenzi wako mkuu? We si ulisema ushajaza coaster mbiliπ
Kumaanisha??!Katakua kana pretend ledy gaga kumbe Jennifer mgendi
Kumbe anatupanga tu aisee πWatunza risiti πΉπΉπΉ
Huyu kaamua kuchangamsha kijiwe, hakuna mke wala mume..!! Mke JF π€£π€£
Nakazia pussy is cheap everywhere huwa nashangaa inakuaje mtu anakosa pisi kabisa for years.Ni preference tu, kwani live kuna ugumu gani hadi useme wanaotongoza mitandaoni ni madomozege? Tena kwa zama hizi unapanda daladala ukishuka umeshapata babez. Mkuu kwa sasa iwe live au online ila pussy is very cheap