Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Eeh, yaan kama hujachanga na zako umeisha. Jueni mbinu zenu za kizamani wanaume zimepitwa na wakati. Sema KARMA iheshimiwe sana. Inakujaga muda hata hutegemei na hujajiandaa. Ukiwaona wanavyotukandia na kutusimanga sasa.. mxieew.
Kuna Uzi ulianzishwa wa kupiga wanawake Kuna mwanaume akaenda kupiga mpenzi wake mahusiano yakafa akaja humu Analia lia na kujuta kudaganyika kisa Uzi, huwezi ishi kwa zama hizi na mwanamke ka enzi za mababu kamwe yatakushinda. Pia kila tukifamyacho huwa na matokeo kikiwa kizuri kitakuwa na positive results, na kikiwa kibaya obvious kitakuwa na negative results.
 
Dah huyo dem atakuja akupe K tu siku moja [emoji23] na utaila ni swala la muda tu! Hayo mazungumzo hayataisha kirahisi ila mie ningemtafuna na kumpotezea! Staki mazoea na msenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muhimu sana Wanaume tuwajibike,

Aya mambo ya kila sehemu unamwaga mbegu zako hutaki kuwajibika.

afu unakuja jf kuanzisha nyuzi za wasimanga Single mother sio ishu kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni noma
 
Hakuna chauchawi wala ushirikina pale.

Mwanaume ukishaingia kwenye ulimwengu wa michepuko, afu pesa yenyewe haiko stable.

Lazima kiuchumi pesa ikupukutike kwa kasi ya kimondo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umempa za uso kabisa
 
Kitakachomponza zaidi ni kujitia maskini jeuri wakati upuuzi kaanzaa yeye.

Mwanamke kwa mazingira yale sidhan kama alikua na haja ya talaka yake,

Maana ake kitendo cha kwenda kuhama nyumban na kwenda kutembea na mtu anayefahamiana na mumewe iyo tayari keshajichukulia hatua mkononi.

Haina haja ya talaka.
 
Ngoja kwanza, mwanamke hajamlaza mahabusu? Yaan akamsamehe tu? Yaan kipimo cha kunyanyua mkono wako tuu kabla udeal na wazazi wangu utaanza na mm...

Unajua haya ni malezi mabovu wamama huwapa vijana wao? Matokeo yake ndo wanakuja kuwa na tabia za kifala kama hv. Hapa wanajifanya mkweli kwao ni mama zao tu wanasahau hap mama zao pia wana waune zao. Badala watengeneze njia wanafanya maisha ya kuchagua sides kati ya mke na mama. Mtoto wangu aje kufanya hivyo nitamtoboa na vidole. Mimi ni mama yako ndo maana nitakuvumilia ujinga wako. Isiwe ndo sababu ya kujidanganya kwamba mamako sijui nini na nn. Kumbuka babako pia ni mwanaume. Hawa wavulana wanahitaji sana semina wajitambue
 
Ooh[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059] am soo happy for u brother.ujana ni maji ya moto sana. Unajikuta kichwa ngumu sana. Kwangu nachukia mno kuanza mahusiano mapya. Nachukia mnooo... maana dah...
Mahusiano mapya ni chamgamoto,

Na hasa hasa kama tayar ulishaoa na ukapata mafanikio flani flani kiuchumi kwenye ndoa.

Watakaofata akili yao itakua kuchuma tu jasho lako na ex wako,
Hawatokua na huruma na wewe kama yule wa mwanzo.

Ndo maana wengi wanaoaga mke wa pili kwa shinikizo la wa kwanza kuondoka, asilimia kubwa huwa wanafeli.

Nishajifunza sana ilo.
 
Muhimu sana Wanaume tuwajibike,

Aya mambo ya kila sehemu unamwaga mbegu zako hutaki kuwajibika.

afu unakuja jf kuanzisha nyuzi za wasimanga Single mother sio ishu kabisa.
Nikikutaga threads za kuwananga single mothers humu nawadharaugi sana. Unasema hawa wote wavulana hawa. Utafikiri mama zao ni malaika. Stuppid kbs.
 
Uvumilivu mpk kufkia hapo nnaimanj unao wa kutosha.

Busara ni muhimu sana, Mungu akuongoze[emoji106]
Uvumilivu una ukomo wewe[emoji23] ni miaka hiyo tulikua tukiamini kwamba watu wote ni wema kumbe si kweli. Tumelelewa mazingira tofauti. Kila mtu ampate w kufanana naye
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo comeback inaizidi ole ya malaga na dortmund 2013 mkuu. Yaan unaweza kufaaaa.... meza inapinduliqa kibabe na venye hina cha kufanya
 
Tunapaswa kumfariji sana mwenzetu,

Yaliyotokea kwake yashatokea kwa wengi japokua wengi ni ngumu kufunguka.

Anatakiwa awe na moyo wa ujasiri kuyaweka kifuani, aangalie wapi kakosea ajirekebishe mwnyw kwenye nafs yake.

Ahesabu mazuri yote kwa mke wake uyo, kisha alinganishe na baya moja hili.

Aangalie matokeo ya maaamuz yake kwa yote waliyoyajenga miaka kibao ya msoto ikiwemo watoto wao wasio na hatia.

Kisha amsamehe mke wake, nayeye atubu dhaambi zake maisha yaendelee.
 
Exactly. Tunayavumilia mnooo. Yotw hayo ni matumaini mtabadilika na kuwa na huruma kumbe ndo tunazidi wajaza kiburi... tukisema tufunguke kila mtu atakimbia...
Ndo maana mada za kuwakashifu single mothers sipendagi kuzichangia.

Zimeegemea zaidi upande mmoja badala ya kubalance mizania.

Laiti kama na wanawake wangeamua kufunguka kilichowafanya wawe single mothers, sidhan kama patatosha humu.

Men we have to change
 
Reactions: nao
Yaan hakuna raha kama kuanza zero na partner wako. Yaan wote mnakua level moja. Ukishakua na vitu vyako unashindwa elewa huyu mtu ananipendea mali zangu ama ananipenda mimi?

Tunayaona hata sasa. Mtu atakudharau sasa maybe kwakua hina ajira ya kukupatia kipato ila siku ukawin utashangaaa. Siku hizi ngumu sana kuwa na mtu anakupenda kweli. Wanaume wengi waanaangalia fursa. Vijana wamekua ovyooo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…