Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Nilichogundua ni kwamba Wanawake huwa hawawezi kutunza siri za ndani.

Mke akipata mchepuko huwa wanawavua nguo waume zao kwani wanasimulia madhaifu yote ya mume wake hata yale ya kitandani.
Na madhaifu ayo ayo ndio wanatumia kumuumiza jamaa.

Aisee,
Tuzilinde ndoa zetu kwa gharama yoyote, mwanamke akichepuka ni hatari na nusu.

Mtu mzima unavuliwa nguo mchana kweupe
 
Mwanamke wa kawaida hawez kua na ujasiri wa kufanya alichomfanyia mtoa mada.

Inavoonekana mtoa mada alipokua nazo,alikua anapiga pale pale mtaani na shombo anamwagia mkewe anadhalilika.

Kilichoniuma zaidi,
Mwanamke anafikia hatua anakuambia kwa maumbile uliyonayo humridhishi kabisa kitandani anaamua kujichua na anakuweka wazi kwa hilo.

Ila kama mwanaume hupambani kuona unalisovu vipi, wee unakimbilia kuchepuka ukijidanganya kua hawez kufireback.
 
Na alikuja huku kumsema vibaya mkewe ili apate support maana wanaume humu hupenda kuponda wanawake Sana as if wao ni malaika.
Ilo ni kweli kabisa,
alitaka kujisafisha ionekane mkewe ndio mwenye hatia peke ake.

Na ni kweli comments za mwanzo, mkewe kasagiwa sana kunguni
 
Ila sasa ndoa imeshakua divorced. Washaachana. Kuna nini tena hapo
 
Nawachukia mno wanaume wa hv. Sipendi hukumu maana sijui alipitia nn mwanamke huyo mpk kufikia hapo. Kwanza mna hakika gani kama hao mlio nao ni baba zenu? Wengine baba zenu ni marehemu mumebambikwa mahali mkijua mna wazazi wote kumbe si kweli. Heshimu mwanamke. Kuna mahali pia hujui kama uliacha mbegu ikazaliwa. Heshimu sana aisee.
 
Anakulia timing wanawake huwa hatuachi ghafla na huwa hatusahau kitu moyoni aisee hapo anakutoa moyoni kitaratibu tu akipata kilicho sahihi na target zikiwa sawa utaula wa chuya
Dawa yake inachemka.
 
Mzee mwezangu hizi hekima sio za mchezo mchezo,salute kwako...all in all Mungu akamptie nguvu na busara ndugu yetu huyu akapate kusimama imara, maumivu yakapungue then atafte mwenza walee watoto na waendeleze maisha.
 
Yaan huyu mke Mungu amsamehe tu ila naelewa maimivu yake aliyopitia[emoji26]
 
Kwani mmeacha kuangalia fursa
 
Reactions: Cyb
Na madhaifu ayo ayo ndio wanatumia kumuumiza jamaa.

Aisee,
Tuzilinde ndoa zetu kwa gharama yoyote, mwanamke akichepuka ni hatari na nusu.

Mtu mzima unavuliwa nguo mchana kweupe
Na ndio maana ni rahisi sana tukio la mauwaji kutokea, maana maumivu yake hayatokani na kuchapiwa tu. Kuna kudhalilishana kunakopelekea maumivu yasiyoisha moyoni
 
Demu ukimfanyia hvo aisee...anakuheshimu na kukuamin balaa..huyo demu huwez amin haiwez pita mwez hajanipigia simu tunaongea hata 30min.
Ishu zake zote ananambia..kaolewa mwaka huu lakin alinambia y anaolewa
Na huo ndiyo uanaume, sio kulala hovyo na watu in the name of kumkomesha mtu; wengine wanaishia kuambukizwa maradhi kama sio kubebewa mimba na wake za watu, sijui mtoto ndiyo unamtoa sadaka. Muache apambane na ndoa yake, wewe endelea na maisha yako kwa amani. Mshenzi usimlipe kwa ushenzi.
 
Pole sana, Mungu akupe hekima na busara pamoja na moyo wa uvumilivu katika magumu unayoyatpitia

Hakikisha watito wako wanakua katika mazingira salama na malezi mazuri,

Huyo mkeo mlijuana wakati ipo na hali nzuri? Una uhakika alikupenda au alipenda maisha mazuri uliyokua nayo

Anyway, Mungu akutie nguvu, ndo kuvunjika ni jambo baya na gumu sana
 
Mkazie, usiwe loser. Tena ikiwezekana mtie tu block, akafie mbele huko
 
Pole sana mtoa mada

Muda ni tiba nzuri, everything will work out at the end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…