Hatimaye ndoa yangu imevunjika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah, mitano ya kwanza kwa mwenda zake anakiwashaaaa tu[emoji23][emoji23] mauno paka chongo na kibamia chake
[emoji2]eti na kibamia chake,

Sio vizur dada angu unamsema mwenzio ujue.

Unamuongezea sonona[emoji4]
 
Hahahaha kwahiyo bado hujapata mchepuko mwingine? Maana uliapa hutaacha
Mmh!
Yaliyopita si ndwele dada angu.
Alikua SHETANI yule[emoji85][emoji85][emoji85]

Kwasasa, NIMEACHA KABISAAA.

Sitaki kuskia cha mchepuko wala mpuuz wake mchepuko.

Nmetulia tuli na familia yangu[emoji4]
 
Naomba nikuoe...
 
Soma kuanzia post #190 kuna makaburi yamefukuliwa huko.[emoji4]
 
Mkuu Oa haraka acha uzembe
Kuoa ni mambo ya duniani tukienda mbinguni nakuona biashara za kuoana
Hivyo oa upesi na haraka na chap
Kuoa kupa lakini si kwa haraka ovyo ataangukia kwa kenge wa bluu tena avute sibla
 
Mmh!
Yaliyopita si ndwele dada angu.
Alikua SHETANI yule[emoji85][emoji85][emoji85]

Kwasasa, NIMEACHA KABISAAA.

Sitaki kuskia cha mchepuko wala mpuuz wake mchepuko.

Nmetulia tuli na familia yangu[emoji4]
Hahaja hongeraaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]muosha huoshwa mkuu
Aisee wewe jamaa unamoyo mimi nisingeweza kurudiana naye kabisa maana ningekuwa kila ni wazapo alichokua anakifanya na mchepuko wake ningekua napandisha hasira na ghadhabu lazima tu ningempa talaka tena hata watoto ningeenda kupima DNA asijekua alikuwa ameanza tangu kitambo

Mimi hua sikai na mwanamke akinisaliti tena hua sitaki ushauri wa mtu
 
Huyu naye anatuzingua kama yule dada wa jana kumbe[emoji849][emoji849]
 
Point muhim sana[emoji120]
 
Exactclyyy mkuu. Yaan nashindwaga waelewa hawa wanaume wanaowakandia wake zao kutwa kutukuza mama zao wanasahau hata hao mama zao ni wake za baba zao. Ni akili za kivulana kutaka kulazimisha kuwe na fight kati ya mke na mama. Mwanaume ama mtu anayejitambua hata siku moja hawezi tengeneza mazingira ya partner wake kuchagua sides. Mke atabaki kuwa mke na mama atabaki kuwa mama. Kila mtu na nafasi yake.
 
Jamaa kaongea point sana,
Mwenye masikio na asikie, ukianza kutengeneza sides unatengeneza daraja la ubaguzi kati yao.

Na dhambi ya ubaguz haijawahi kumuacha yeyote salama.

SOMETIMES,
WE ALWAYS DIG OUR OWN GRAVES
 
Jamaa kaongea point sana,
Mwenye masikio na asikie, ukianza kutengeneza sides unatengeneza daraja la ubaguzi kati yao.

Na dhambi ya ubaguz haijawahi kumuacha yeyote salama.

SOMETIMES,
WE ALWAYS DIG OUR OWN GRAVES
Kwa maana nyingine yaani ni hivio, na yeye atabaguliwa na wanae pia mbeleni tena wa kiume against mkewe[emoji23]
 
Makosa ni yako acha kutafuta huruma, kwanza ulioa ukiwa mdogo… pili huna HELA. Why! Kwanini!!

Tuwaambie mara ngapi kutafuta HELA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…