Ni ajabu pale unaishi kwa ku-compare compare wanadamu wawili wana-fight everyday for your attention
Mama yako utamfananishaje na mke au dem unaejamiiana nae au kuzaa nae watoto?
Ni ukoswaji wa akili tu....
Kuna mama wangapi wana-sabotage their own children?Wapo...Na hao tuwaiteje?
Fanya hivi....failure kwenye relationships zetu na wenzi wetu ni weakness zetu wenyewe na tupo responsible kwa hilo 100%,hii ku-compare watu kwamba huyu ni better than huyu ni kutafuta sababu za kukwepa majukumu ya makosa yetu wenyewe!
Unakuta jitu zima,lipo mbele ya mke wake,and still linaongea kwamba mama au mke wake ni bora zaidi ya mke au mama yake...
Wanawake wawili,wote wanataka attention yako,na wote wana-fight maisha yao kua na wewe,cha ajabu unajifanya kupendelea huyu zaidi ya yule kwa wazi,wewe unategemea huyo mke wako will take in that bullshit?
Fanya hivi,regardless ya sijui huyu ni mama,sijui ni mke,sijui ni nani,wote ni wanadamu wanawake na wote wana ego,wote will do any crazy ego-driven actions to survive for your attention regardless.
Usiongoze haya magari mawili yaka-collide.