Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Unaonekana wewe ni muhanga.

Hata ukivuta nyuzi zangu sijawahi kuji mwambafai kumdharau mke wangu so usinichanganyie mambo yako
 
Sure japo kwenye kuoa sitifanya haraka ivi
 
Usihuzunike sana mzeee pisi kali zinahitaji hela kwa maana alifata hela sasa zimeisha inabidi aangalie upande wa pili,hiyo ndo maana halisi ya pisi kali
Wakati na mdate hakua pisi kali inayojua mji ila baada ya kumnonesha ndo ameleta dharau
 

“Hakuna kipindi kigumu kwa mwanadamu kama kutafuta mtu wa kuishi naye kwani waweza chagua rafiki wa maisha yako au msalaba wako”

HASA KIZAZI HIKI CHA WAKATI HUU.
 
Hahahahahaha mchepuko hauwezi kumtunza tena? Baadhi ya KE hawa ni wapuuzi sana. Jamaa limeshapiga papuchi vya kutosha sasa linamtema kiaina.
Jamaa Hana maisha sema ni vile Mimi Nina majukumu makubwa kifamilia.
Sasa kipindi yupo kwangu si ilikua mseleleko kwake kwakua mahitaji muhimu yote yaliishia kwangu...

Ila mi naona bado labda ananu act'ia tuu
 
Reactions: BAK
Atarudi kwako huyo huku uso ukiwa umemshuka au akiwa na kiburi ataamua kuhamia kona bar akafute wateja.
Jamaa Hana maisha sema ni vile Mimi Nina majukumu makubwa kifamilia.

Sasa kipindi yupo kwangu si ilikua mseleleko kwake kwakua mahitaji muhimu yote yaliishia kwangu...

Ila mi naona bado labda ananu act'ia tuu
 
Unaonekana wewe ni muhanga.

Hata ukivuta nyuzi zangu sijawahi kuji mwambafai kumdharau mke wangu so usinichanganyie mambo yako
Hayo sasa yako. Na ni juu yako. Umekosea ila mkeo amechemka sana. Njia alizotumia akiamini anakukomoa anajikomesha mwenyewe. Kurudi najua atarudi tu akiwa hoi. Ameshindwa kuwa mjanja kbs. Kiujumla nachoweza sema hakuna mapenz tena kati yenu. Ulimzingua kwa wakati wako na ye anafanya sasa kwa wakati wake. Kosa moja halihalalaishi kosa lingine. Na wewe usifikiri kukiwasha unakomoa mtu. Kama wanao unawapenda wapende kwa kutoshambulia mbususu ovyo. Itakugharimu zaidi. Kama mama tu hana uchungu wa kulea wanae wewe ukayakwaaa maradhi huko kimebaki nini. Ni hayo tu, haikuhalalishii wewe kuwa malaika.
 
Asante kwa kututia moyo... Haya mambo haya ndio maana wanaume wengi wanawahi kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…