Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Kaeni muyamalize msiwatese wanenu bure. Hata mkiachana na kutafuta wengine watu ni wale wale na matatizo ni yale yale. Naongea tokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 kwenye taasisi iitwayo ndoa.
 
Kaeni muyamalize msiwatese wanenu bure. Hata mkiachana na kutafuta wengine watu ni wale wale na matatizo ni yale yale. Naongea tokana na uzoefu wangu wa zaidi ya miaka 30 kwenye taasisi iitwayo ndoa.
Father nakuheshimu saana kwa uzoefu wako kama ulivyo nena.

Hata Mimi nilitamani safari hi nisamehe, shida inakuja kwamba je sababu zilizomfanya atoke nje ya ndoa azitojirudia tena??? Nikaona hapaana lazima zitokee kwa sababu binadamu tuna mapungufu.

Sasa yeye hataki unkosoe Wala mpishane ma wazo ni hasira na mnuno wiki mbili..

Nimeona hapana baadae anaweza kumuingiza hawara chumbani kwangu kabisaaa.
Bora jicho tenge kuliko upofu
 
Pole sana jiandae kuja kumsamehe au la atarudi tu kwako Mungu hana mchezo inaumiza lakini jipe moyo tu
 
Kwenye maisha ukiwa unaenda na predefines za namna hii utashindwa kuishi na wanadamu wengine unaowataka wawe wenzi wako

Hao wanadamu the same way wanataka wao ndio wawe number 1 kwako,wakiona una mwanadamu mwingine ndio namba moja
Thanks mkuu, its good
 
Watakaopingana na UKWELI huu wapinge tuu ila ndo UKWELI.

Mwanamke akitoka nje ya ndoa yake a hafai kwa matumizi ya ndoa, kwa sababu mwanaume hutoka akiwa amezidiwa na tamaa na ataendelea kumpenda mkewe na kumhudumia vizuri, ila kwa Mwanamke ni tofauti kabisa akisha toka hawezi kumheshimu mumewe kama mwanzo.

UKWELI wa pili ni rahisi sana Mwanamke kujua kwamba mume wake alilala na Mwanamke akasamehe, ila ni kinyume chake kwa mwanaume, mwanaume akijua umelala na mwanaume mwingine hilo ni kosa lisilosameheka kamwe, hata kama aliwahi kutenda hivyo mara 10 na mkewe akamsamehe. Ndo UKWELI ambao Mwanamke akiukubali atakuwa na ndoa ya amani sana.

Mimi iliwahi kunitokea nikiwa nimejifungua mwanangu wa kwanza,niliona dalili nilifuatilia nikasema nikiona jamaa amebadilika sitajali kuwa nafsi yangu huwa inajua huu UKWELI, nitamuwashia moto. Alivyohisi tuu nimejua alituma meseji moja tuu kwa yule mama kuwa Naomba huu mpango uishie hapa kwa sababu mke wangu hakuwahi kunikosea kitu.Akasahau kufuta,Mimi nikasoma nikafuta.

Sasa yule mama ndo akawasha moto na Kuanza kunipigia, mimi nilimuonea huruma kwa sababu sikujua amedanganywa nin, so nkalia kilio fake nikapelekwa shopping ya maana na msamaha juu lakini makosa yalikuwa yangu tangu nibebe mimba hadi najifungua alikuwa akisogea karibu namfukuza.Siumii kwa Hili tukio na nlisamehe kabisa na sijawahi kumkumbusha imeshapita miaka na sitamkumbusha. Ila ingekuwa ni upande wake asingeweza kunisamehe ni ningemuelewa. Huu UKWELI naujua na siwezi kuusema, nimeandika hapa ili mwenye kutaka kujua na aujue. Watakaobisha hapa wengi ni wanawake wenzangu.

UKWELI huu hauhusiani na mafundisho yoyote ya Dini au usawa wa kijinsia au haki za binadam wala sheria yoyote ya ndoa.
 
Watakaopingana na UKWELI huu wapinge tuu ila ndo UKWELI.
Mwanamke akitoka nje ya ndoa yake a hafai kwa matumizi ya ndoa, kwa sababu mwanaume hutoka akiwa amezidiwa na tamaa
Hii kitu ina ukweli kwasababu wanawake mnaongozwa zaidi na hisia kwahiyo mwanamke akianza kucheat lazima pia aanze kumdharau mume wake. Mwanamke anafanya tendo la ndoa kwa hisia wakati mwanaume ni kutokana na tamaa.
 
Hii kitu ina ukweli kwasababu wanawake mnaongozwa zaidi na hisia kwahiyo mwanamke akianza kucheat lazima pia aanze kumdharau mume wake. Mwanamke anafanya tendo la ndoa kwa hisia wakati mwanaume ni kutokana na tamaa.
Hutujui wanawake wewe eti twaongozwa na hisia mwanamke anaweza kuwa na mtu na hampemdi ni vile anapata vitu flani ambalo kwingine hapati, ka nyie mna enjoy uhuni na kutokuwa na feeling's kwingi hata na wanawake hvo hvo
 
Si kweli bana ni vile wanawake tumrkuzwa kuaminishwa kuwa hamna mwanaume wa Peke yako na cheating ni cheating tu na wanawake twaweza kukaa na kitu mda mrefu tu na ndio maana wanaume wakizeeka hutekelezwa na wake na pia mwanamke haondoki sababu ya watoto na uchumi mdogo. Kwa wenzetu wanaachana tu vizuri Sasa huku bongo huna mbele Wala nyuma lazima umvumilie mwanaume malaya kwa kujifanya umemsamehe na kingine bongo ndoa ni unafiki so wengi wanavulia no Upendo at all.
 

Ungeoa warundi wanavumilia shida wale!! Chombo cha mkoloni kile

Ila siku ukicheat ndyo utajua!! Ila kamwe hakukimbii kisa pesa
 

Utapata wakisha achana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…