Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Pesa pesa pesa..... Tuache tu kwa kweli.
 
Binadamu wa ajabu sana. Malipo ya kumpenda mtu na kumuheshimu inakuwa ni kukukomoa ili hali hujamfanyia baya lolote.
 
Yap now am single father ambaye nachukia kitu kinaitwa mke

Kwahiyo akitokea mwanamke akakutunuku mbunye wakati huu utaiacha? Au utapiga hivo hivo? Maisha yaendelee wanaume hatuchukii mademu wewe tafuta mwingine anza kula mtunyenye ujiliwaze ukiwawaza sana wanawake utapoteza muda wako mwisho ufe mapema
 
Pole sana lakini kumbuka hata wenye pesa ndoa zao zinavunjika
 
Pole sana ndugu yangu.

Ukipata mwingine usimfungulie biashara, kwani wengi wameharibu ndoa zao baada ya kufunguliwa biashara. Fungua biashara yenu mtakayomiliki wote, tena wewe ndo uwe final kwenye maamuzi.

Wanawake walio wengi (naheshimu uwepo wa wachache) wanadhani tunawaonea na kuwatumikisha hivyo wakipata nguvu ya kiuchumi huharibu ndoa zao.
 

Kwahiyo tukupe namba ya mke wa jamaa akupigie akuelezee na yeye upande wake ndio utoe hitimisho ndugu hakimu? Ushaambiwa mchizi mawe yalikata ndio manzi kaamua kumlipua au kuna zaidi?
 
Nashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.

Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana

Usichukie mbunye wewe tafuta chombo cha kuanza kukilipua kitandani utaomboleza hadi lini? Chapa kazi sana, tafuta pesa kama ulivosema huku unamtu wa kulipua mara moja moja
 
Atarudi kwako tu ipo siku wewe msahau Ila alichokifanya kwako atakifanya huko pia ndio atashindwa kuvumiliwa hata robo mwisho ni kukupigia magoti
 
Mzeee huyo usimwache aisee, jitoe tu sadaka usipokufa Leo utakufa kesho, kwani umebahatika kumjua alipo?
Huu si ushauri mzuri. Au umesahau analea watoto na pengine kuna ndugu wanamtegemea?
Muda utafika atakuja ona ni kawaida huku maisha yakisonga vizuri na pis zingine kali kuliko huyo kibibi aliyevunja ndoa yake. Na hizo msg ukute ni mwanamke mwenyewe anazituma kupitia sim ya jamaa.

 
Unajua matatizo yakianza huwa yanaongozana, hata uwe na vyanzo vingi vya mapato, likianza hili huwa linakuja lile mpka unajikuta juu ya mawe.

Kikubwa nadhani toka mwanzo uhusiano unapaswa kujengwa katka misingi ya upendo na kuvumiliana.

Mi ndo maana huwa namuogopa sana mwanamke ambaye ukimwambia hali yako sio nzur na usimpe hela basi ananuna na zile baby sijui my zinakauka, huwa nawaza huyu hapa hata sijamuoa, akiingia ndani je!?

Mimi nina kaka angu alikuwa njema sana, ana kazi, biashara, nyumba ya kupangisha etc. Majanga yake yalianza kwa kupata ajari, gar ikafa akakaa hospital 6 months, amepona kaz akapunguzwa, mke akamkimbia tena aliyezaa naye watoto wawili, akaanza kuuza kitu kimoja baada ya kingine, biashara zote zikafa.

Leo miaka 8 imepita jamaa hataki kabisa kusikia habari ya kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…