dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Kosa hela ujue rangi halisi ya ndani ya ufedhuli wa hawa viumbe KE
Japo hii ni stori ya upande mmoja
Japo hii ni stori ya upande mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa pesa pesa..... Tuache tu kwa kweli.Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani
Binadamu wa ajabu sana. Malipo ya kumpenda mtu na kumuheshimu inakuwa ni kukukomoa ili hali hujamfanyia baya lolote.Nina rafiki yangu wa karibu, sio kuhadithiwa ni kushuhudia, alifanyiwa vituko hivo vya kufanya tendo la ndoa mpaka siku za hedhi kwa miezi 8 mfululizo. Siku walipoachana yule mwanamke akamtumia kipimo chake alichopima miezi 8 nyuma cha HIV kikisoma ameathirika pamoja na tarehe. Na akamuambia
Yap now am single father ambaye nachukia kitu kinaitwa mke
Pole sana lakini kumbuka hata wenye pesa ndoa zao zinavunjikaAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
Duh[emoji3064][emoji3064][emoji2960][emoji3]Sawa.....
pole sana mkuu, lakini mimi kaa mtaalamu wa mambo ya ndoa na mambo kaa hayo, nimesikia upande wako tu, siwezi kusema lolote kabla sijasikia toka kwa aliyekuwa mwenza wako, i mean your x, i am someone who never ever allows my emotions to overide my knowledge and intelligence, so ningependa sana kwanza kusikia toka kwa your x kabla ya kusema lolote, naona watu wanakupa pole, lakini mimi i came to conclusions and make rulings after i hear from both parties, its unfair to hear from only one side
Nashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.
Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana
Swala la maradhi mpaka sasa sielewi maana alikua ananizuga kunipa sex every day hadi kwenye hedhi ili kunifumba macho niamini kakolea nikaumwa balaa.... Sijui itakuaje ila binafsi kwakua nilitulia kwenye ndoa Mungu atanisaidia
Atarudi kwako tu ipo siku wewe msahau Ila alichokifanya kwako atakifanya huko pia ndio atashindwa kuvumiliwa hata robo mwisho ni kukupigia magotiAsalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.
AsubiliHawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwa
[emoji123][emoji123]unamapoint flani ya kibabe sanaDuuuh sometimes ndoa zinakua chanzo cha watu kupoteza dira ya maisha, pole sana mkuu.
Jiangalie wewe,, hakuna kitu Kama hikoPole sana mkuu ndio ukubwa,kwa hyo umekuwa single father
Pole sana ndugu yangu.
Ukipata mwingine usimfungulie biashara, kwani wengi wameharibu ndoa zao baada ya kufunguliwa biashara. Fungua biashara yenu mtakayomiliki wote, tena wewe ndo uwe final kwenye maamuzi.
Wanawake walio wengi (naheshimu uwepo wa wachache) wanadhani tunawaonea na kuwatumikisha hivyo wakipata nguvu ya kiuchumi huharibu ndoa zao.
Huu si ushauri mzuri. Au umesahau analea watoto na pengine kuna ndugu wanamtegemea?Mzeee huyo usimwache aisee, jitoe tu sadaka usipokufa Leo utakufa kesho, kwani umebahatika kumjua alipo?
Unajua matatizo yakianza huwa yanaongozana, hata uwe na vyanzo vingi vya mapato, likianza hili huwa linakuja lile mpka unajikuta juu ya mawe.Pole kwa yaliyokukuta mkuu! Huna budi kukubaliana nayo na kujipa muda siku utampata mama mwingine bora mtakayewalea watoto wenu pamoja kwa upendo, kuhusu pesa nadhani kuna wanawake wanaweza vumilia waume zao na kuwaombea Mungu aruhusu baraka za kipato ktk familia, si wote wanaonuna na dharau eti sababu mume amefulia.
Pia tujitahidi kuwa na vyanzo vingi vya mapato ili ukikosa huku unapata sehemu nyingine maisha yanaendelea. Itasaidia kuepusha kisirani