Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Una sali? Basi mlilie Muumba wako, tubu pale ulipokosea. Isaiah 43:25-26

"Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako."

Mke amependa zaidi ya dunia, kuliko kujua umuhimu wa ndoa yenu spiritually.
 
Ya Mungu Mengi.
 
Point to note!! Tujitaid kuwa na vyanzo ving vya mapato
 
Angalizo hasira za kuvunjika ndoa yako tafadhari usiende kuziamishia kwa wanawake wengine, maana huwaga hamuna huruma baada ya hapo
 
Nashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.

Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana
Mkuu Oa haraka acha uzembe
Kuoa ni mambo ya duniani tukienda mbinguni hakuna biashara za kuoana
Hivyo oa upesi na haraka na chap
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.


Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Tunaoa wanawake wanakuja kujihifadhi kimaisha huku wakiacha vipenzi vyao nje na hata vya baadae, mwanamke aliekubali/kujipendekeza/kushawishi kuolewa kwa kukidhi haja zake nje na upendo wa dhati kwa mume hitimisho kama lako ni baraka na furaha kiroho kwa maana sasa pepo lililodumu kwa kipindi fulani limeondoka. Jipongeze kwa ushindi wa Mungu
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Pole sana brother. Its seems hakuwa kwakonsababu ya upendo.. mali au pesa.

Yes ni tukio baya. probably litakuchukua muda ku recover, but trust me ni bora umemjua tabia zake.

Kama mwanaume,huu ni muda 2a kuinuka na kujinenga upya. lia uwezavyo.. sikitika uwezavyo.. lakin inuka songa mbele..
bado hujafa.. means badonuna maisha ya kuishi
 
Mkuu ulijuaje kwamba mkeo ana hawara?
 
We umeamua kuja kumkejeli bradha au sio? Aliyekwambia kuna wanawake wanaovumilia dhiki sikuhizi ni nani? Tukianza na wewe, unaweza kuishi na mwanaume ambaye hana kipato kwa muda flani? Hebu kuwa mkweli tu maana swala la hela limekuwa kipengele sana sikuhizi kiasi kwamba watu wamekosa utu kabisa yani usipokuwa na hela huthaminiki. Wewe unaweza kuishi kwa adabu na heshima na mume ambaye hana sh.10 bila makelele na kumnyanyasa?
 
Huu msemo umenifurahisha sana
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.


Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.
Mwanamke anaangalia future hata miaka kumi mbele, akiwa na matumaini kuwa japo umefulia lakini anaona yapo matumaini ya wewe kupata hela tena ndipo utakiona hicho kinachoitwa mke kuvumilia mume asiye na pesa. Lakini akiwa na uhakika kuwa umeishagota na hakuna hope ya kuibuka then hakyna mke atamvumilia mume wa aina hiyo.

Wanaume pesa yetu ndiyo inayoshikilia ndoa na si vinginevyo, mke akibaki na mume wakati hana hela ni kwa kuwa mke hana alternative.
 
Nakubali mzee baba
 
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Hata hao mama si wote mkuu. Kuna mama alifiwa na mume. Alitelekeza watoto watatu kwa babu na bibi wazaa baba. Alitorokea mjini. Ameolewa huko.

Katika jitihada za watoto kuhangaika kumtafuta, siku moja mtu mmoja akamwonesha mmoja wa wale watoto mama yao alipo.

But mtoto alipokwenda na kujitambulisha kwa mamaye, alijibiwa kuwa katika maisha yake hajawahi zaa mtoto zaidi ya wale wa kwa mumewe (mume mpya).

Alimkana kabisa mwanae, na hadi leo wanahangaika na maisha mama akila bata na mume mpya.

Huyu naye ni tumwite mama mzazi?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…