Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Angalizo hasira za kuvunjika ndoa yako tafadhari usiende kuziamishia kwa wanawake wengine, maana huwaga hamuna huruma baada ya hapo
Hahahah ni kweli atakayejipendekeza sahizi dah namuonea huruma maana atachezea kipigo kibaya sana cha moyo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Retaliation is a must!
 
Wanawake hawanaga huruma jaman na mtu....labda mama yako tu...nakumbuka nilipomaliza chuo ile misoto ya mtaan..nikaachwa na mtu ambae tulidate for karibia 4 yrs ..pika pakua...kisa yeye alipata kaz mapema TRA...ila sasa toka hyo 2014...kaja kuolewa2021...nayeye kuachana kwetu alisema yeye anataka ndoa...hyo ndo changamoto yenu wadada..sio wavumiliv....sasa hiv kila kukicha anafatilia status zangu...mara kuniwish bday.mara anataka nikienda mkoa alipo tuonane.....kwa jinsi nilivyo jeur na ego kama zote...niliwai kutana nae mwaka jana hotelin mkoa aliko...halaf tukala chakula tu akiexpect tungepasha kiporo ila hakuamin jinsi nilivyomkwepa...mim nna kinyaa cha ajabu.yaan nilale nawew.halaf nijue umeenda lala na mtu mwingne..aisee..naweza tapika kabisa...labda kwa penz jipya
Una roho ngumu wewe.
 
Hahahah ungemkaza tu mzee baba hapo umeniangusha! Unamkaza af unamlia Ubuyu tu no beibe beibez!
Demu ukimfanyia hvo aisee...anakuheshimu na kukuamin balaa..huyo demu huwez amin haiwez pita mwez hajanipigia simu tunaongea hata 30min.
Ishu zake zote ananambia..kaolewa mwaka huu lakin alinambia y anaolewa
 
Demu ukimfanyia hvo aisee...anakuheshimu na kukuamin balaa..huyo demu huwez amin haiwez pita mwez hajanipigia simu tunaongea hata 30min.
Ishu zake zote ananambia..kaolewa mwaka huu lakin alinambia y anaolewa
Dah huyo dem atakuja akupe K tu siku moja ๐Ÿ˜‚ na utaila ni swala la muda tu! Hayo mazungumzo hayataisha kirahisi ila mie ningemtafuna na kumpotezea! Staki mazoea na msenge
 
We umeamua kuja kumkejeli bradha au sio? Aliyekwambia kuna wanawake wanaovumilia dhiki sikuhizi ni nani? Tukianza na wewe, unaweza kuishi na mwanaume ambaye hana kipato kwa muda flani? Hebu kuwa mkweli tu maana swala la hela limekuwa kipengele sana sikuhizi kiasi kwamba watu wamekosa utu kabisa yani usipokuwa na hela huthaminiki. Wewe unaweza kuishi kwa adabu na heshima na mume ambaye hana sh.10 bila makelele na kumnyanyasa?
Katika ke 100 utapata 01
 
Dah huyo dem atakuja akupe K tu siku moja [emoji23] na utaila ni swala la muda tu! Hayo mazungumzo hayataisha kirahisi ila mie ningemtafuna na kumpotezea! Staki mazoea na msenge
Hahahha..mim nikimla ,,mim ndo nakua looser....ila nikimtesa hiv anajua..yaan dah hili jamaa linaniona mim takataka tu...yaan mim nataka ateseke kama alivyonitesa mim.....kuna siku ananambia amenunua kiwanja kisiri mmewake hajui...anataka nimsaidie ujenzi..yaan nimsimamie ujenz...nikawaza nkasema huyu bwege nimpige pesa niin had ajute..ila roho yangu ikagoma sabab siko hivyo.....ila kiukwel had mwenyew ana admit kua namtesa sana..hahahah.mim nacheka tu kimoyo moyo
 
Pole sana mkuu kwa unayoyapitia,

Wahenga waliosema hivi walikua serious[emoji116][emoji3525]
JamiiForums1467742030.jpg
 
Hahahha..mim nikimla ,,mim ndo nakua looser....ila nikimtesa hiv anajua..yaan dah hili jamaa linaniona mim takataka tu...yaan mim nataka ateseke kama alivyonitesa mim.....kuna siku ananambia amenunua kiwanja kisiri mmewake hajui...anataka nimsaidie ujenzi..yaan nimsimamie ujenz...nikawaza nkasema huyu bwege nimpige pesa niin had ajute..ila roho yangu ikagoma sabab siko hivyo.....ila kiukwel had mwenyew ana admit kua namtesa sana..hahahah.mim nacheka tu kimoyo moyo
Hahahahahah huyo dem ni devil aisee! Yani kanunua uwanja mumewe hajui aisee? Mi lazma ningemchapa kwenye ujenzi hapo mamaye ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… si aliniacha kiboya namie nampiga tu mifuko ya simenti.. sema kanaonekana kanakumiss sana hako ka mmbwa, endelea kukapa adhabu za kiakili manina
 
Only the dead see the end of the war ( waliokufa pekee ndio wanaouona mwisho wa vita)

Son" km upo hai , vita haijakwisha....... pambana. .. Mungu anaongea na wewe kwa lugha usioijua., tunza huu uzi wako, na hii post yangu, nitaomba unipe mrejesho miaka 10 ijayo, tuombe uzima na afya njema.
 
Usiseme huwezikuta mwanamke anamsema mme wake positively, wapo kama mimi hata kama mume wangu ana mapungufu ni lazima nimfunike kwa public, ntamsema vizuri, ntamfanya aonekane mwanaume kamili. I never speak negative about my husband, tatizo mnajumlisha jinsia yote!! Unaambiwa kama umekuta na aliyekengeuka ni huyo cyo wote!!
Unyago uliuelewa vizuri, pongezi kwako na familia yako na kizazi chako[emoji120]
 
Hahahahahah huyo dem ni devil aisee! Yani kanunua uwanja mumewe hajui aisee? Mi lazma ningemchapa kwenye ujenzi hapo mamaye [emoji28] [emoji28][emoji28] si aliniacha kiboya namie nampiga tu mifuko ya simenti.. sema kanaonekana kanakumiss sana hako ka mmbwa, endelea kukapa adhabu za kiakili manina
Hahaha
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida.

Basi ghafla maisha yakabadilika nikaanza kupitia magumu kiuchumi hata jero mtihani kupata.

Balaa lilianza hapo kudharaulika, kununiwa, Visa vya kila aina mpaka hatimaye Mimi ndiye nikawa "mama wa nyumbani" na yeye akawa anarudi nyumbani ka guest house ni kulala tuu bila kujali hata watoto wanna hali gani.

Biashara nimemfungulia mwenyewe, na hata kodi nimekua nikimsaidia kulipa. Pamoja sasa Sina shughuli maalumu lakini Mungu ananisaidia kumudu kutimiza mahitaji muhimu ya familia yangu.

Sasa amepata mwanaume mwingine na amenidhibitishia na nilipohitaji aende kwao akapumzika akaniambia hawezi atabaki Dar aendeleze maisha yake kwakua anashida saana ya hela. Kumbe nia yake ni kuendelea kuishi na huyu mwanaume.

Leo nimedhibitisha. Ndoa yangu haitakuwepo tena baada ya kukamilisha taratibu za kisheria.

Roho inauma kwakua sikutegemea kama wanangu wataishi na mzazi mmoja.

Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
NINAKATAA.. KWANI WANAGAPI NDOA ZAO ZIMEVUNJIKA NA WANA HELA???

HUKUA NA MKE, ULIKUA NA MALAYA TU NDO UNAISHI NAYE.

KUZAA NA MWANAMKE, KUSIKAE KUKUFANYA UJUTIE MAISHA YAKO ,UWAJUTIE WANAO.

NIAMINI, HUYO ANAPIGWA MUWA SABABU TU MPIGAJI ANAONA DEMU NAYE ANA KIBIASHARA KAKE.

HAWEZI KUOLEWA HUYO MBWA, NIAMIN, HATOOLEWA KAMWEEEEE ,HAWEZI KUOLEWAAA.

AKIOLEWA, UJUE YEYE NDIO ALIYEOA, NAHIVO ITAMLAZIMU KILA KITU AKIENDESHE YEYE ILI KUMUWEKA MUME WAKE .( AKINA SHISHI).

MKUU, HAUNA NGUVU?? HAUNA AKILI???

SASA FANYA HIVI, KAMA BABA NA MAMA YAKO WAPO HAI, WAPELEKE WATOTO WALELEWE HUKO, ALAFU WEE PAMBANA.

FANYA KUHARAKISHA KABISA, HIYO NDOA IVUNJIKE HARAKAAAA KADRI INAVYOWEZEKANA.

[emoji101]SAIZI ANAONGOZWA NA MWILI TU NA HOMONI, KWAIVO HAWEZI KUKUELEWA.

[emoji117]ACHA KABISAA KUJARIBU KUMPAMBANIA, SIJUI UMRUDISHE ,ACHAAAAAA.

[emoji117]KWA UFUPI, MPAKA ANAKUAMBIA ANA MWANAUME, BASI HUYO HAFAI.

[emoji117]SISI WANAUME HATUZEEKI, FANYA MAISHAZ TAFUTA MWANAMKE MBICHIIIIII. OA ..OA MWANANGU.

[emoji117]UMESHAMZALISHA WATOTO WAWILI... KAMA NI INJIN YAKE, IMESHAANZA KUCHOKA, HUYO HATA KM AKIOLEWA, BASI AKIZAA NI KATOTO KAMOJA.

[emoji117]HUYO MWANAUME WAKE ALIYEKUPORA MKE, TAMBUA KWAMBA ,HATA YEYE HATOWEZA KUMWAMINI HUYO DEMU .

[emoji117]HAKIKISHA MWANANGU, HAKIKISHAA HUYO MBWA AJUI WATOTO WAKO NI WAPI WALIPO. WANAKULA NN, WANAVAA NN, WANAISHIJE ISHIJE , NAHATA KMA ANAJUA SHULEN WALIPO, NENDA UWAMBIE WALIMU, WASIKAE KAMWEE KUMRUHUSU AWAONE.

[emoji116]
Huwa nataman sana Wanaume wenzangu muwe na Mioyo kama moyo wangu.... Aiseeee nina Moyo wa Chuma, Yaaan mwanamke ??? Mwanamke kiumbe Dhaifuu ivi ndio kinipande kichwan????. ASALALE.
 
Hawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwa
Hebu kuwa mkali mkuu.....yaani hawara yake anapata wapi ujasili wa kukutumia sms mkubwa? Mbona hiyo dharau imezidi eti umeshindwa mtunza mke wako wewe umeshindwaje kumjibu kama umeshindwa so what?.......

Mungu amekujalia moyo wa upole sana nawewe naona ni mtaratibu sana mkuu, hizo mambo binafsi ningekuwa nimeishamtafuta huyo hawara wa wife kumuwek sawa na ningetafuta njia ya kuweka ubao wa matokeo sawa.
 
Back
Top Bottom